Hongereni CHADEMA kwa kujimaliza wenyewe. Sasa mmefutika rasmi

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,040
Reaction score
4,529
Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.

Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.

Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you

Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
 
kujinyonga kwa chadema kwa kutumia uropokaji kumewahuzunisha wengi sana aise..
 
Wewe ulitakaje, washiriki kuhalalisha ujinga? Wewe enfelea na uchafuzi wako kenge wewe
 
Unaota kutokea wapi ,tuanzie hapa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…