naliwe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 485
- 1,074
kujidanganya danganya huku ndo kumewafikisha leo hapa walipo. Tatizo lilianzia pale walipoanza kumsifia yule chizi aliepo jelaJidanganye
kujidanganya danganya huku ndo kumewafikisha leo hapa walipo. Tatizo lilianzia pale walipoanza kumsifia yule chizi aliepo jelaJidanganye
CHADEMA imefanya uamuzi sahihi kabisa. Bora kutokuwa na uwakilishi bungeni kuliko kuwa na uwakili bandia. Mbona kipindi cha Magufuli wakuwa wamepigwa stop lakini hawakutoweka? Wacha vyama vingine vipewe wabunge lakini siku zote bandia siyo halisi.Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Siasa haina ujinga.Unachokiona wewe ni ujinga hiyo ndiyo siasa yenyewe.Endelea kukaza fuvu alafu jiulize walioanzisha siasa kwanini waliifanya iwe hivyo.Wewe ulitakaje, washiriki kuhalalisha ujinga? Wewe enfelea na uchafuzi wako kenge wewe
Wameingia lini barabarani?Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.