Hongereni CHADEMA kwa kujimaliza wenyewe. Sasa mmefutika rasmi

Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.

Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.

Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you

Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu

Wakifurahi kwa wimbo mzuri wa Lionel Richie ""Geramooo my weyiii NDA-NDA-NDA,Gonna be so sweet mummy"""
1753192935859.jpg
 
Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.

Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.

Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you

Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Mbegu hufabili iote upya na izae zaidi.
Hii ni kanuni ya Kimungu.
 
Kwahy chadema ipo rohoni kwa vijana ila hao hao vijana hawawezi kupiga kura?

Kura zinapigiwa wapi kwani? Kwa mwambegele au kwa Mchelengwa? Matokeo tayari kijana jana tumepitisha vipengele tumalizie uteuzi!
 
Mtu mpumbavu anaona kama Chadema imepoteza. Kwa sababu pengine inakosa vyeo vya kujineemesha matumbo yao. Kwa hiyo wao wataneemeka zaidi..

Tulishapoteza uwezo wa kutafakari mambo mkuu, Mtikila (RIP) alisema tunaugua apedomia
 
Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.

Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.

Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you

Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Yaani wewe kweli kinyeo ,CHADEMA haifi kama unavyo dhani ,ipo kwenye mioyo Nni kama imani, ila statement yako mwisho imemamliza mjadala kwamba jeshi lina tumika kukandamiza upinzani

Lakini hebu nijibu kwanza
CHADEMA ndio imempeleka lissu mahakamani?
CHADEMA ndio imetoa amri ya kusitisha siasa za CHADEMA ?
unaongea kama umetoka kumbinulia kalio makala.
 
Ok,anakula bata 😂 maana kila akitoka anazidi kupendeza na kunenepa (birhani) la ukonga!
Kuna wakati wa viongozi kuandaliwa kwa majukumu makubwa

Historia ya huyo TAL inaanzia pale Vipaji maalum ambapo mwalimu Nyerere alikuwa anawaita TUNU

Usimchukulie poa ukadhani ni sawa na Waganga njaa akina Mwijaku 😂😂🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom