johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Vyovyote vile inategemea na kabila lako mfano kwa wewe Mgogo ni fala- fasa 😂😂Falsafa?may be Falfasa au fala-fasa
Vyovyote vile inategemea na kabila lako mfano kwa wewe Mgogo ni fala- fasa 😂😂Falsafa?may be Falfasa au fala-fasa
Masokwe flaniKwahy chadema ipo rohoni kwa vijana ila hao hao vijana hawawezi kupiga kura?
Safi kwa hadithi nzuri,tuwekee hapo (scripts) MWL.aliposema Lissu ni tunu ya taifa!Kuna wakati wa viongozi kuandaliwa kwa majukumu makubwa
Historia ya huyo TAL inaanzia pale Vipaji maalum ambapo mwalimu Nyerere alikuwa anawaita TUNU
Usimchukulie poa ukadhani ni sawa na Waganga njaa akina Mwijaku 😂😂🇹🇿🇹🇿
Wewe umesoma vipaji maalum?Safi kwa hadithi nzuri,tuwekee hapo (scripts) MWL.aliposema Lissu ni tunu ya taifa!
-lissu ni mpenda sifa
-lissu ana cramming capability kubwa,na kumbukumbu pia,lissu hana ubunifu,huko singida hakuweza kufanya lolote wakati wa ubunge wake,""dunia inataka records za kipi umefanya,haitaki maneno mengi na ujuzi wa kubishana,""we as human being,twende zaidi na records,magufuli toka uwaziri alikuwa ni mjenzi,na alipokuja kuwa rais akatuonyesha ujenzi,sasa bw.lissu anatupa mfano gani wa kutupa hamasa?,hapo pana ustaadi tu wa kuongea hakuna lolote!,note this.
Mbona Chadema inakukosesha usingizi?Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Wala CDM haina nia ya kuingia barabarani ,kwa sababu barabarani hakuna majibu ya Mahitaji ya Watanzani ila Barabara Wanayosema usidhini ni hii Barabara ya Lami ila Barabara ya mioyo ya watu dicho kinacho watisha watawala wimbi la mageuzi duniani kote halikuletwa na Chama au kikundi kimoja Bali matakwa ya wananchi wenyewe.ikifika mda huo kuwe na CDM kusiwe na CDM mageuzi yatafanyika mbaya ni kule kutoratibiwa kiumakini.CCM hawawezi kuratibu tena kwasababu ya kupotoka ktk misingi yake.na kwakuwa CCM imeshindwa kuratibu yatakuja kuwakuta kama ya Asad ,Bashiri na Sadam.Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Matamanio ya Tlaatlah na ChrocodileteethNcho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Nilisoma azania,Wewe umesoma vipaji maalum?
Tuanzie hapo bila kuandikiana mabarua ya akina Lucas 😄
Kumbe mzee kibao kajinyonga?kujinyonga kwa chadema kwa kutumia uropokaji kumewahuzunisha wengi sana aise..
Waulizeni no reform no Election imezuia nini na kuwasaidia kipi hadi.leo?Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Azania hawajawahi kusoma Watu wa maana kwa sababu hamkuwa tofauti na wale Swala wavaa orange pembeni yenuNilisoma azania,
Wengi tu waliosoma hizo shule,wamekuwa walevi tu mitaani hawana lolote!
Mkuu,kaa sana kwenye kitu inaitwa, RECORDS,hata mbinguni utakwenda kwa kuwa na records nzuri na safi.
Umenikumbasha mbali sana,dada zetu wa jangwani,ilikuwa ndiyo furaha yetu,hata mchungaji wenu chadema alikuwa azania alinipita tu vidato,alikuwa juu yetu,sasa hata yeye umemdharau,askofu mwanamapinduzi?😂tumaini la chadema!Azania hawajawahi kusoma Watu wa maana kwa sababu hamkuwa tofauti na wale Swala wavaa orange pembeni yenu
Ungekuwa ulisoma O level Tambaza Boys ningekuelewa 🐼
Enzi zetu ilikuwa afadhali usome Kinondoni Muslims aka Kimbweru kwa sababu kulikuwa na Mademu wa Ukweli kuliko hapo Azania na mademu wenu kama’ mayaya’Umenikumbasha mbali sana,dada zetu wa jangwani,ilikuwa ndiyo furaha yetu,hata mchungaji wenu chadema alikuwa azania alinipita tu vidato,alikuwa juu yetu,sasa hata yeye umemdharau,askofu mwanamapinduzi?😂tumaini la chadema!
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURANcho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Chadema ni Imani. NRNENcho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.