Kwahy chadema ipo rohoni kwa vijana ila hao hao vijana hawawezi kupiga kura?Ukikua utaelewa na utaacha kucheka wala hujanyimwa kiongozi, haulii tena?
Mtu mpumbavu anaona kama Chadema imepoteza. Kwa sababu pengine inakosa vyeo vya kujineemesha matumbo yao. Kwa hiyo wao wataneemeka zaidi..Chadema ni Falsafa
Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Mbegu hufabili iote upya na izae zaidi.Ncho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
Kwahy chadema ipo rohoni kwa vijana ila hao hao vijana hawawezi kupiga kura?
Kawaida sana hata Gachagua yuko US anamwagilia moyo πAcha nifurahi kwa nyimbo wimbo wa Lionel Richie ""Geramooo my weyiii NDANDANDA,Gonna be so sweet""View attachment 3420053
Mtu mpumbavu anaona kama Chadema imepoteza. Kwa sababu pengine inakosa vyeo vya kujineemesha matumbo yao. Kwa hiyo wao wataneemeka zaidi..
Mtu akiwa lupango si ndiyo muda serious wa kuona jinsi ya kumtoa,ngojea uugue halafu mkeo aende harusini.Kawaida sana hata Gachagua yuko US anamwagilia moyo π
Wewe unaamini yuko Lupango?Mtu akiwa lupango si ndiyo muda serious wa kuona jinsi ya kumtoa,ngojea uugue halafu mkeo aende harusini.
Ok,anakula bata π maana kila akitoka anazidi kupendeza na kunenepa (birhani) la ukonga!Wewe unaamini yuko Lupango?
Huyo Raila Odinga ambaye hadi Rais Ruto anamwita baba wa Taifa alikaa jela sana tu π
Siasa ni sayansi
Falsafa?may be Falfasa au fala-fasaChadema ni Falsafa
Yaani wewe kweli kinyeo ,CHADEMA haifi kama unavyo dhani ,ipo kwenye mioyo Nni kama imani, ila statement yako mwisho imemamliza mjadala kwamba jeshi lina tumika kukandamiza upinzaniNcho hii hakuna mtanzania anayethubutu kuingia barabarani kisa siasa. Kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Wanaoweza sisasa za hivyo ni wakenya tu.
Hata akina mange ukiwaambia waje wawapige jeki hawaji.
Sasa mmeamua kujimaliza wengenye. Hongereni kwa hilo i appreciate you
Nchi za maharibu watawadanganya wako na nyinyi lakini ki ukweli hawawezo kuingilia kijeshi nchi yetu
CHADEMA ni kama dini, ukiona kimya utafikiri haina watu , itisha mkutano mmoja tu, utajua CHADEMA ipo au haipoFalsafa?at be Falfasa au fala-fasa
Kuna wakati wa viongozi kuandaliwa kwa majukumu makubwaOk,anakula bata π maana kila akitoka anazidi kupendeza na kunenepa (birhani) la ukonga!