Hongereni CHADEMA kwa kujimaliza wenyewe. Sasa mmefutika rasmi

Mwalimu aliwahi kusema upinzani wa kweli utatoka CCM.

Kifo cha CHADEMA kitatoka CHADEMA.
 
Safi kwa hadithi nzuri,tuwekee hapo (scripts) MWL.aliposema Lissu ni tunu ya taifa!
-lissu ni mpenda sifa
-lissu ana cramming capability kubwa,na kumbukumbu pia,lissu hana ubunifu,huko singida hakuweza kufanya lolote wakati wa ubunge wake,""dunia inataka records za kipi umefanya,haitaki maneno mengi na ujuzi wa kubishana,""we as human being,twende zaidi na records,ยฐยฐยฐยฐยฐmagufuli toka uwaziri alikuwa ni mjenzi,na alipokuja kuwa rais akatuonyesha ujenzi,ยฐยฐยฐยฐยฐยฐยฐยฐsasa bw.lissu anatupa mfano gani wa kutupa hamasa?,hapo pana ustaadi tu wa kuongea hakuna lolote!,note this.
 
Wewe umesoma vipaji maalum?

Tuanzie hapo bila kuandikiana mabarua ya akina Lucas ๐Ÿ˜„
 
Mbona Chadema inakukosesha usingizi?
Alianza Gwajima
Akaja Slowslow
Sasa subiri mkisesa na dibala waweke mambo hadharani
 
Wala CDM haina nia ya kuingia barabarani ,kwa sababu barabarani hakuna majibu ya Mahitaji ya Watanzani ila Barabara Wanayosema usidhini ni hii Barabara ya Lami ila Barabara ya mioyo ya watu dicho kinacho watisha watawala wimbi la mageuzi duniani kote halikuletwa na Chama au kikundi kimoja Bali matakwa ya wananchi wenyewe.ikifika mda huo kuwe na CDM kusiwe na CDM mageuzi yatafanyika mbaya ni kule kutoratibiwa kiumakini.CCM hawawezi kuratibu tena kwasababu ya kupotoka ktk misingi yake.na kwakuwa CCM imeshindwa kuratibu yatakuja kuwakuta kama ya Asad ,Bashiri na Sadam.
 
Wamejimaliza au wamemalizwa na Mamlaka. ila watabaki chama mashujaa wanapigania wanachokiamini na walibeba ajenda ya wananchi. wacha tuone
 
Matamanio ya Tlaatlah na Chrocodileteeth
 
Sasa wewe kinachokuuma ni nini??Mpo peke yenu but mnahangaika kupita maelezo.Watu hawaandamani physically lkn joto lake mnalipata ndo maana kutwa kuchwa viongozi wenu wanatoa ufafanuzi.Makada wenu wanaliamsha dude ndani yenu hukohuko.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kusupport mambo yanayoasisiwa na CCM
 
Wewe umesoma vipaji maalum?

Tuanzie hapo bila kuandikiana mabarua ya akina Lucas ๐Ÿ˜„
Nilisoma azania,
Wengi tu waliosoma hizo shule,wamekuwa walevi tu mitaani hawana lolote!
Mkuu,kaa sana kwenye kitu inaitwa, RECORDS,hata mbinguni utakwenda kwa kuwa na records nzuri na safi.
 
kujinyonga kwa chadema kwa kutumia uropokaji kumewahuzunisha wengi sana aise..
Kumbe mzee kibao kajinyonga?
Kumbe Lissu kajifungia death row? Au ni panic ?
Kumbe Gwajima kafunga kanisa lake au ni panic mode ya kikundi fulani?
Kumbe Chadema wamejokataza kufanya siasa...panic mode
 
Waulizeni no reform no Election imezuia nini na kuwasaidia kipi hadi.leo?

Susa maisha yanaendelea bila Chadomo
 
Nilisoma azania,
Wengi tu waliosoma hizo shule,wamekuwa walevi tu mitaani hawana lolote!
Mkuu,kaa sana kwenye kitu inaitwa, RECORDS,hata mbinguni utakwenda kwa kuwa na records nzuri na safi.
Azania hawajawahi kusoma Watu wa maana kwa sababu hamkuwa tofauti na wale Swala wavaa orange pembeni yenu

Ungekuwa ulisoma O level Tambaza Boys ningekuelewa ๐Ÿผ
 
Toka mmeanza kusema imekufa mbona inadunda na mnasema sana sasa unaongeleaje kitu kilichokufa na unaandika kwa hisia ukitamani kife .
 
Azania hawajawahi kusoma Watu wa maana kwa sababu hamkuwa tofauti na wale Swala wavaa orange pembeni yenu

Ungekuwa ulisoma O level Tambaza Boys ningekuelewa ๐Ÿผ
Umenikumbasha mbali sana,dada zetu wa jangwani,ilikuwa ndiyo furaha yetu,hata mchungaji wenu chadema alikuwa azania alinipita tu vidato,alikuwa juu yetu,sasa hata yeye umemdharau,askofu mwanamapinduzi?๐Ÿ˜‚tumaini la chadema!
 
Umenikumbasha mbali sana,dada zetu wa jangwani,ilikuwa ndiyo furaha yetu,hata mchungaji wenu chadema alikuwa azania alinipita tu vidato,alikuwa juu yetu,sasa hata yeye umemdharau,askofu mwanamapinduzi?๐Ÿ˜‚tumaini la chadema!
Enzi zetu ilikuwa afadhali usome Kinondoni Muslims aka Kimbweru kwa sababu kulikuwa na Mademu wa Ukweli kuliko hapo Azania na mademu wenu kamaโ€™ mayayaโ€™

Samahani lakini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

NO REFORMS NO ELECTION

USISEME HUKUAMBIA
 
C
Chadema ni Imani. NRNE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ