Hongereni CHADEMA kwa kujimaliza wenyewe. Sasa mmefutika rasmi

CHADEMA imefanya uamuzi sahihi kabisa. Bora kutokuwa na uwakilishi bungeni kuliko kuwa na uwakili bandia. Mbona kipindi cha Magufuli wakuwa wamepigwa stop lakini hawakutoweka? Wacha vyama vingine vipewe wabunge lakini siku zote bandia siyo halisi.
 
Wewe ulitakaje, washiriki kuhalalisha ujinga? Wewe enfelea na uchafuzi wako kenge wewe
Siasa haina ujinga.Unachokiona wewe ni ujinga hiyo ndiyo siasa yenyewe.Endelea kukaza fuvu alafu jiulize walioanzisha siasa kwanini waliifanya iwe hivyo.
 
Wameingia lini barabarani?
 
hii vita haihitaji hasira, Chadame wao wlaieka hasira mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…