Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
Kwaya ni wanafiki, walishatunga wimbo kulaani wizi wa kura hapa nchi ya kichawi Tz?Jana imenipa mzuka Sana hiyo kwaya kufatilia zaidi uchaguzi wa Kenya. Hongera Sana kwaya Mt Kizito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaya ni wanafiki, walishatunga wimbo kulaani wizi wa kura hapa nchi ya kichawi Tz?Jana imenipa mzuka Sana hiyo kwaya kufatilia zaidi uchaguzi wa Kenya. Hongera Sana kwaya Mt Kizito.
Mamdenyi, ke wawese masembo wa? Matondo mnu!Mtakatifu kizito?
Hawa ni washenzi tu! Mt. Kizito? Are we serious?Jana imenipa mzuka Sana hiyo kwaya kufatilia zaidi uchaguzi wa Kenya. Hongera Sana kwaya Mt Kizito.
Wewe unatakiwa kukamatwa na kunyongwa. Ulishiriki dhuruma za Magufuli kwa Ndugu yetu Erick Kabendera. Ipo siku wewe au familia yako watalipa machozi ya Erick kwa kutomzika mama yake. Usipotubu hadharani una muda mchache sana wa kuwepo.miaka gani?. Mimi nimeishi Mabibo hostel 4 years 2003-2007.
P
Ngoja niende Citizen tv kupata clip maana walikuwa mubashara na mwenyekiti wa IEBC aliwapongeza sanaMkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.
Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Acha tu huyo mtakatifu kizitoMamdenyi, ke wawese masembo wa? Matondo mnu!
Mkuu PhD, kwanza ushauri wa Bure kwako Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!Wewe unatakiwa kukamatwa na kunyongwa. Ulishiriki dhuruma za Magufuli kwa Ndugu yetu Erick Kabendera.
Kwa vile mimi ni muumini wa karma, karma spares no body, hivyo kama mimi nimehusika kwa njia moja au nyingine, karma will take care of me.Ipo siku wewe au familia yako watalipa machozi ya Erick kwa kutomzika mama yake. Usipotubu hadharani una muda mchache sana wa kuwepo.
Mkuu City owl nashauri hiyo iwe ndiyo sababu ya kuwasukuma Parokia ya Mt Kizito waanzishe kwaya yao. Usiache kusali tafadhaliMkuu,
Huwa siendi kanisani.. Hii habari ilinipa moyo nijitutumue wikendi ijayo niende hapo Mt. Kizito maana ni kama mita 200 toka hapa napoishi ila hii comment yako imentia uvivu tena!
[emoji16][emoji16]
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mabibo Makuburi nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura
Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine
Mungu ni mwema wakati wote
Hongera sana Mt. Kizito Makuburi.Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mabibo Makuburi nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura
Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine
Mungu ni mwema wakati wote
Tofautisha kuhamasisha uchaguzi na kupiga kampaini.Kuhamasisha kushiriki uchaguzi hata Tz hufanyika katika nyumba za ibada,ambacho hakifanyiki ni kampaini.Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.
Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Uko sahihi.Kwaya ya Mt Kizito toka Parokia ya Mwenyeheri Anwarite iliyoko MakuburiKuna mix up hapa. Mbezi beach wana Parokia ya Mt Kizito, lakini kwaya yao haina umaarufu.
Parokia ya RC Makuburi Ina Kwaya inayoitwa Mt Kizito na ndiyo moja kati ya kwaya tatu maarufu Tanzania kwa sasa. Wameimba nyimbo kama: 1. Mimina Neema, 2. Yesu ni mwema 3. Ukuu wa Yesu
.
Kwa kuwa Mimi ni Mkatoliki niliye deep na mambo ya kanisa natamka kuwa iliyoalikwa Kenya kwenye uchaguzi ni Kwaya ya Mt Kizito ya Makuburi parish
AmenHongera sana Mt. Kizito Makuburi.
Kwaya kubwa na yenye historia ya pekee Nchini Tanzania
Nenda Mwenyeheri Anwarite Makuburi ndo utaikuta hiyo kwaya ya Mt KizitoMkuu,
Huwa siendi kanisani.. Hii habari ilinipa moyo nijitutumue wikendi ijayo niende hapo Mt. Kizito maana ni kama mita 200 toka hapa napoishi ila hii comment yako imentia uvivu tena!
[emoji16][emoji16]
Mimi nimepita pale mwaka 2005! Baada ya kukaa mwaka mmoja na kupitia vishawishi vingi pale Block C, niliamua kubeba mabegi yangu na kuhamia off campus mkuu.miaka gani?. Mimi nimeishi Mabibo hostel 4 years 2003-2007.
P
Ungesoma CBE au IFM ungepata tabu sanaMimi nimepita pale mwaka 2005! Baada ya kukaa mwaka mmoja na kupitia vishawishi vingi pale Block C, niliamua kubeba mabegi yangu na kuhamia off campus mkuu.
Imagine nilitoka Milimani huko Usambaani! Ghafla nikachaguliwa chuo kikuu cha Dar es salaam na division one yangu ya 6! Nikapangiwa Mabibo Hostel! Majengo ya ghorofa! Madirisha ni ya aluminium! Halafu jengo la pembeni yako lina watoto wazuri kutoka pande zote za nchi!! Mweh!! Una hela ya boom 2500/ day!!!
Mnapanda wote shuttle asubuhi kwenda chuo, na baadaye mnarudi wote! It was a nice experience mkuu. Kiukweli nayamiss sana yale maisha ya chuo.
Mkuu City owl nashauri hiyo iwe ndiyo sababu ya kuwasukuma Parokia ya Mt Kizito waanzishe kwaya yao. Usiache kusali tafadhali
Mfia dini wa Uganda alikuaMtakatifu kizito?
Ni kweli tume yenu iliyojaa wezi , wajinga na wanafiki hahitaji kwaya au kuhamasisha ili mshinde, wale wezi wenzenu wanaojiita usalama na polisi CCM wanatoshaMkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.
Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Tz hakuna uchaguzi, kuna teuzi tuNi kweli tume yenu iliyojaa wezi , wajinga na wanafiki hahitaji kwaya au kuhamasisha ili mshinde, wale wezi wenzenu wanaojiita usalama na polisi CCM wanatosha