Kenya 2022 Hongereni Kwaya ya Mtakatifu Kizito kwa kualikwa na Tume ya Uchaguzi Kenya, mmeifanya Tanzania kuwa Baraka!

Kenya 2022 General Election
miaka gani?. Mimi nimeishi Mabibo hostel 4 years 2003-2007.
P
Wewe unatakiwa kukamatwa na kunyongwa. Ulishiriki dhuruma za Magufuli kwa Ndugu yetu Erick Kabendera. Ipo siku wewe au familia yako watalipa machozi ya Erick kwa kutomzika mama yake. Usipotubu hadharani una muda mchache sana wa kuwepo.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.

Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Ngoja niende Citizen tv kupata clip maana walikuwa mubashara na mwenyekiti wa IEBC aliwapongeza sana

Marekebisho hapo kwenye mtaa

Mungu wa mbinguni akubariki
 
Wewe unatakiwa kukamatwa na kunyongwa. Ulishiriki dhuruma za Magufuli kwa Ndugu yetu Erick Kabendera.
Mkuu PhD, kwanza ushauri wa Bure kwako Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Ipo siku wewe au familia yako watalipa machozi ya Erick kwa kutomzika mama yake. Usipotubu hadharani una muda mchache sana wa kuwepo.
Kwa vile mimi ni muumini wa karma, karma spares no body, hivyo kama mimi nimehusika kwa njia moja au nyingine, karma will take care of me.
P
 
Mkuu,
Huwa siendi kanisani.. Hii habari ilinipa moyo nijitutumue wikendi ijayo niende hapo Mt. Kizito maana ni kama mita 200 toka hapa napoishi ila hii comment yako imentia uvivu tena!
[emoji16][emoji16]
Mkuu City owl nashauri hiyo iwe ndiyo sababu ya kuwasukuma Parokia ya Mt Kizito waanzishe kwaya yao. Usiache kusali tafadhali
 
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mabibo Makuburi nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura

Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine

Mungu ni mwema wakati wote

Baraka mnapeleka kwa wengine ilhali kwenu mmepasahau, hiyo ndio akili??!.
 
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mabibo Makuburi nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura

Hungeremi sana kwa kuifanya Tanzania kuwa Baraka kwa nchi nyingine

Mungu ni mwema wakati wote
Hongera sana Mt. Kizito Makuburi.
Kwaya kubwa na yenye historia ya pekee Nchini Tanzania
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.

Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Tofautisha kuhamasisha uchaguzi na kupiga kampaini.Kuhamasisha kushiriki uchaguzi hata Tz hufanyika katika nyumba za ibada,ambacho hakifanyiki ni kampaini.
 
Kuna mix up hapa. Mbezi beach wana Parokia ya Mt Kizito, lakini kwaya yao haina umaarufu.

Parokia ya RC Makuburi Ina Kwaya inayoitwa Mt Kizito na ndiyo moja kati ya kwaya tatu maarufu Tanzania kwa sasa. Wameimba nyimbo kama: 1. Mimina Neema, 2. Yesu ni mwema 3. Ukuu wa Yesu
.

Kwa kuwa Mimi ni Mkatoliki niliye deep na mambo ya kanisa natamka kuwa iliyoalikwa Kenya kwenye uchaguzi ni Kwaya ya Mt Kizito ya Makuburi parish
Uko sahihi.Kwaya ya Mt Kizito toka Parokia ya Mwenyeheri Anwarite iliyoko Makuburi
 
miaka gani?. Mimi nimeishi Mabibo hostel 4 years 2003-2007.
P
Mimi nimepita pale mwaka 2005! Baada ya kukaa mwaka mmoja na kupitia vishawishi vingi pale Block C, niliamua kubeba mabegi yangu na kuhamia off campus mkuu.

Imagine nilitoka Milimani huko Usambaani! Ghafla nikachaguliwa chuo kikuu cha Dar es salaam na division one yangu ya 6! Nikapangiwa Mabibo Hostel! Majengo ya ghorofa! Madirisha ni ya aluminium! Halafu jengo la pembeni yako lina watoto wazuri kutoka pande zote za nchi!! Mweh!! Una hela ya boom 2500/ day!!!

Mnapanda wote shuttle asubuhi kwenda chuo, na baadaye mnarudi wote! It was a nice experience mkuu. Kiukweli nayamiss sana yale maisha ya chuo.
 
Ungesoma CBE au IFM ungepata tabu sana

Kama tu huko porini Mabibo uliteseka namna hiyo!!!
 
Mkuu City owl nashauri hiyo iwe ndiyo sababu ya kuwasukuma Parokia ya Mt Kizito waanzishe kwaya yao. Usiache kusali tafadhali

Mkuu naona umechanganya kidogo..
Parokia inaitwa Mwenyeheri Anuarite Makuburi.

Sasa kwny kwaya, wanazo kwaya nyingi kwa maana ya kuwa, ni zaidi ya moja, sasa miongoni mwa hizo kwaya ndio ipo hiyo kwaya ya Mt. Kizito.

Kwa kuongezea tu, jpili iliopita walitimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa kwake, hilo kanisa, na yule mkuu Kanisa katoliki jimbo la Dar, alikuwepo na ulinzi na itifaki kama zote. Nimeona na fence wamejenga mpya..
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza asante kwa taarifa hii, ila haijatulia!. Kwanza Kwaya vya Mt. Kizito ni kutoka Mabibo Makuburi na sio Mbezi Beach!. Pili Ingependeza zaidi kama ungetudadavulia just a little bit more na kutusindikizia kwa kutupia ka clip wakiinjilisha uchaguzi wa Kenya, seeing is believing.

Sisi huku hatuchanganyi dini na siasa, hivyo Tume yetu ya Uchaguzi haiwezi kutumia kwaya ya dini yoyote kuhamasisha uchaguzi wetu.
P
Ni kweli tume yenu iliyojaa wezi , wajinga na wanafiki hahitaji kwaya au kuhamasisha ili mshinde, wale wezi wenzenu wanaojiita usalama na polisi CCM wanatosha
 
Tz hakuna uchaguzi, kuna teuzi tu

Eti mtu anashinda anakuwa wa kwanza,anatokea mtu anasema
Muondoe huyo muweke fulani

Ova
 
Back
Top Bottom