Thamani yako kwao ni ukiwa hai, maana unawapa hela.. Ukishakufa huna faida wala thamani tena kwao[emoji1787] mtani bana.
Niliwahi sikia miaka mingi iliyopita kuwa mtu akifia India huo mwili unateswa sana yaani unakunjwa and sometimes mifupa wanaivunja ili uingia kwenye kibox cha mizigo.
Niliwahi pokea mwili wa mtu mmoja maarufu miaka hiyo mkoa fulani alifia India. Walipoupokea mwili airport moja kwa moja kuelekea mkoani,
Niliogopa nilipoona kile kisanduku, kuuliza nikaambiwa its economic.
Kweli mwenye mgonjwa ukiona hali inazidi kuwa mbaya ni vema umrejeshe tu nyumbani.
mkubwa hii kazi nasikia inasababisha dishi kuyumba vipi wewe upande wa dish mbona uko fresh tu au kuna kitu ulifanya cha ziadaKazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
Bro toa location ya kituo cha kazi, kuna watu watahitaji kuja kukuungisha siku moja.Kazi niliyoipenda na kuifanya kwa moyo wangu wote na weledi mkubwa kabisa
Sikula vya dhuluma.. Sikula visivyo vyangu.. Vya marehemu bila ruhusa yaomkubwa hii kazi nasikia inasababisha dishi kuyumba vipi wewe upande wa dish mbona uko fresh tu au kuna kitu ulifanya cha ziada
Nimeshastaafu mkuu asante sanaMkuu t
Bro toa location ya kituo cha kazi, kuna watu watahitaji kuja kukuungisha siku moja.
Differentiete general knowledge, secret, top secret a.k.a state secret, confidential, and matter of privacy! But never mind, Papi!Hahaha.. Not everything should be spoken in the public
😂😂🤣 yaani we jamaa kiazi kweli😅😂Maiti ni maiti tu.
Muulize Jiwe kanufaika na nini alipokandwa vizuri pale Lugalo.
Tunaogopa maiti zenu!,[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2] Kumbe mnachagua uzi wa kuomba picha,, mwambieni mwamba atume tu picha maana kuna wadau watasem bila picha uzi ni batili
Mimi nimekuelelwa bwana MinoHili la Kumpunguza Viungo vyake vya ndani kwa Maiti yoyote ile inayosafirishwa kutoka nchi za mbali ni la Kawaida kwani vikiachwa Maiti itanuka vibaya kwakuwa hivyo Viungo huoza kwa haraka sana.
Concern yangu ni Mwili kuandaliwa kwa Kulipua lipua, Kutokuujali na kuupa tu treatment ya kutimiza wajibu kiasi kwamba inaibua Hisia kuwa huenda Wahindi wanatudharau sana Sisi Waafrika.
Nimesikitika mno.
Mkuu niko hapa kwa andishi hiloA very long story to tell ..not today
Pole sana popomaKuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile vile.
Huko nyuma pia niliwahi kubahatika katika Kushughulikiwa Mwili ( Maiti ) iliyokuwa ikiandaliwa ( treated ) tayari kusafirishwa kwenda nchi fulani na kiukweli Mortuary Attendant wa Tanzania ( katika Hospitali husika ) waliuandaa Mwili vizuri kabisa, Kiutaalam, Kiupendo na Kiutu kabisa na naamini hata Walioupokea huko ulikoenda walishukuru na kuridhika nao.
Mwili ( Maiti ) niliyoipokea leo kutoka nchini India ( nilikoamini kuwa kuna Watu makini na Weledi ) baada ya kufika na kuikagua tayari kwa Kuiandaa kwa Kuagwa Kesho imenifanya niamini kuwa kumbe Waafrika ( hasa Watanzania ) ambao ni Mortuary Attendant wana Utu, Hekima na Ustaarabu sana katika Kuandaa Miili ya Marehemu Wetu lakini imenifanya nianze Kuwachukia Wahindi na kuamini kuwa kumbe ni Watu wenye Roho Mbaya na hawana Ubinadamu.
Ushauri wangu ( na silazimishi ) kama utakuwa na Ndugu yako nje ya nchi hasa nchini India kama mkiona dalili za Kupona hazipo tafadhali upesi sana mrudisheni tu Tanzania aje afie huku ili apate treatment nzuti ya Mortuary Attendant wa Kitanzania ila mkiacha wafie nje ( hasa huko India ) wakija huku katika Jeneza ( ambalo hugeuka kuwa Cargo ) tegemeeni kukutana na Makwazo na Uchungu mkubwa pale mkiupokea.
R.I.P Marehemu wote nchini Tanzania.
Jibu swali yupo au la?Kwanini?
Hawajanyofoa figo kweli?A very long story to tell ..not today
Hapana tena waliniongezea ya tatuHawajanyofoa figo kweli?
Mkuu niko hapa kwa andishi hilo