Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Thamani yako kwao ni ukiwa hai, maana unawapa hela.. Ukishakufa huna faida wala thamani tena kwao[emoji1787] mtani bana.
Niliwahi sikia miaka mingi iliyopita kuwa mtu akifia India huo mwili unateswa sana yaani unakunjwa and sometimes mifupa wanaivunja ili uingia kwenye kibox cha mizigo.
Niliwahi pokea mwili wa mtu mmoja maarufu miaka hiyo mkoa fulani alifia India. Walipoupokea mwili airport moja kwa moja kuelekea mkoani,
Niliogopa nilipoona kile kisanduku, kuuliza nikaambiwa its economic.
Kweli mwenye mgonjwa ukiona hali inazidi kuwa mbaya ni vema umrejeshe tu nyumbani.