Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Hivi yule David Lattah, sijui mtoto w dada, nae yupo bado hapo?Kuna ndugu yake anaitwa Nyala ndio cancer pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi yule David Lattah, sijui mtoto w dada, nae yupo bado hapo?Kuna ndugu yake anaitwa Nyala ndio cancer pale
LEO NIMEJIFUNZA KITU HAPANaipenda hii Radio maana nakumbuka mbali sana kipindi hicho inawatangazaji hawa.
Fred war
Sauda Mwilima
Zuberi Msabaa
Deokaji Makomba
Juma Ahmed Baragaza
Felister Kunigela
Erica Elias
Mtani Wambura
Rahabu Ufungo
Glory Mtoto wa mama Sabuni
Baruani Mhuza
Rebecca Molesi
😂😂😂😂fungukaLEO NIMEJIFUNZA KITU HAPA
Kumbe ni Fred War!!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
CHADEMA hata ofisi wameshindwa kujenga, ili waliyokodisha vyoo havina maji wataweza kweli?Hii redio, Dialo angeikodisha tu, imeshamshinda kuendesha,, nadhani hapati matangazo ya kutosha, na hata kamari hailipi kivile, watu wamejanjaruka sana, awape chadema kwa mkataba maslumu😂
Kiongozi mmoja tu wa Chadema anaweza kuinunua na kuindesha sembuse chama si kinaweza nunua TV zote za kuziendesha bila shidaCHADEMA hata ofisi wameshindwa kujenga, ili waliyokodisha vyoo havina maji wataweza kweli?
Daaah kumbe jamaa karudi kwa Mumbai?😢😢😢😢Prince Baina Kamukulu (RIP)
Huyu mwamba alikuwa anautendea haki mziki wa kihindi.
Enzi hizo watangazaji walikuwa ni watu maarufu sana ila life yao ilikuwa inasikitisha sana waajiri walikuwa wanawanyonya!
Mwaka 2015 niligumiana na Baina kwenye kijigrocery, kiukweli alikuwa anatia huruma sana make hakuwa na hata mia mbovu ya kinywaji ila daily ukienda kwenye ile grocery unamkuta kachill asikilizia ofa za bia kwa washkaji.
Kiongozi gani? Mbowe gaidi?Kiongozi mmoja tu wa Chadema anaweza kuinunua na kuindesha sembuse chama si kinaweza nunua TV zote za kuziendesha bila shida
Wanavyo komaa na mchezo wao wa upatu hadi maudhui yamepoteza maana, kipindi cha dk 60,dk 45 ni kukomaa na upatu wa pata mkwanjaHii redio, Dialo angeikodisha tu, imeshamshinda kuendesha,, nadhani hapati matangazo ya kutosha, na hata kamari hailipi kivile, watu wamejanjaruka sana, awape chadema kwa mkataba maslumu[emoji23]