Hongereni RFA kurejea kwa matangazo

Hongereni RFA kurejea kwa matangazo

Naipenda hii Radio maana nakumbuka mbali sana kipindi hicho inawatangazaji hawa.

Fred war
Sauda Mwilima
Zuberi Msabaa
Deokaji Makomba
Juma Ahmed Baragaza
Felister Kunigela
Erica Elias
Mtani Wambura
Rahabu Ufungo
Glory Mtoto wa mama Sabuni
Baruani Mhuza
Rebecca Molesi
LEO NIMEJIFUNZA KITU HAPA

Kumbe ni Fred War!!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii redio, Dialo angeikodisha tu, imeshamshinda kuendesha,, nadhani hapati matangazo ya kutosha, na hata kamari hailipi kivile, watu wamejanjaruka sana, awape chadema kwa mkataba maslumu😂
CHADEMA hata ofisi wameshindwa kujenga, ili waliyokodisha vyoo havina maji wataweza kweli?
 
CHADEMA hata ofisi wameshindwa kujenga, ili waliyokodisha vyoo havina maji wataweza kweli?
Kiongozi mmoja tu wa Chadema anaweza kuinunua na kuindesha sembuse chama si kinaweza nunua TV zote za kuziendesha bila shida
 
Prince Baina Kamukulu (RIP)
Huyu mwamba alikuwa anautendea haki mziki wa kihindi.
Enzi hizo watangazaji walikuwa ni watu maarufu sana ila life yao ilikuwa inasikitisha sana waajiri walikuwa wanawanyonya!

Mwaka 2015 niligumiana na Baina kwenye kijigrocery, kiukweli alikuwa anatia huruma sana make hakuwa na hata mia mbovu ya kinywaji ila daily ukienda kwenye ile grocery unamkuta kachill asikilizia ofa za bia kwa washkaji.
 
Daaah kumbe jamaa karudi kwa Mumbai?😢😢😢😢
 
Hii redio, Dialo angeikodisha tu, imeshamshinda kuendesha,, nadhani hapati matangazo ya kutosha, na hata kamari hailipi kivile, watu wamejanjaruka sana, awape chadema kwa mkataba maslumu[emoji23]
Wanavyo komaa na mchezo wao wa upatu hadi maudhui yamepoteza maana, kipindi cha dk 60,dk 45 ni kukomaa na upatu wa pata mkwanja
 
Back
Top Bottom