Hongereni sana, Diamond and Zari

Hongereni sana, Diamond and Zari

Namsifu Dangote kwa usiri maana akina vidudumtu wangemwaribia. Naona huko insta King Lawrence ashapaniki tayari, sindano imemwingia hadi kwenye mfupa.
 
Dai naye sasa hapo si amepoteza maana nzima ya privacy! Kweli mtoto wa tandale hawezi kuficha siri.By the way pole yake Wema sepetu.
 
mkuu unatakiwa kuelewa penye kusifia nasifia na penye kukosoa nakosa. usiogope mkuu uwe na amani.K.4 REAL

Safi sana lukelo sakafu.Nashangaa watu wanavyoona ajabu wewe kumsifia Diamond.Ndio wajue kua Kiba fans hatuna roho mbaya,chuki wala unafiki.
Ni mara ngapi mimi na Ms.Lincoln tunaisifia hii couple?Kutokumkubali Diamond kimziki sio kwamba tunamchukia la...ila tunamkubali King Kiba zaidi.
Huu ni mziki tu mwisho wa siku tunajumuika kama kawaida.
~Hii ni kwa wote wanaojenga chuki kisa tofauti zetu baina ya Kiba na Diamond.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kama kuna mwenye updates za live show ya king kiba pale dar live atujuze hapa
 
Safi sana lukelo sakafu.Nashangaa watu wanavyoona ajabu wewe kumsifia Diamond.Ndio wajue kua Kiba fans hatuna roho mbaya,chuki wala unafiki.
Ni mara ngapi mimi na Ms.Lincoln tunaisifia hii couple?Kutokumkubali Diamond kimziki sio kwamba tunamchukia la...ila tunamkubali King Kiba zaidi.
Hui ni mziki tu mwisho wa siku tunajumuika kama kawaida.
~Hii ni kwa wote wanaojenga chuki kisa tofauti zetu baina ya Kiba na Diamond.

Kama hawataelewa hapa nadhani upwanya road utakuwa umeshawaingia kwenye mzunguko wa hewa.
 
Last edited by a moderator:
safi sana lukelo sakafu.nashangaa watu wanavyoona ajabu wewe kumsifia diamond.ndio wajue kua kiba fans hatuna roho mbaya,chuki wala unafiki.
Ni mara ngapi mimi na ms.lincoln tunaisifia hii couple?kutokumkubali diamond kimziki sio kwamba tunamchukia la...ila tunamkubali king kiba zaidi.
Hui ni mziki tu mwisho wa siku tunajumuika kama kawaida.
~hii ni kwa wote wanaojenga chuki kisa tofauti zetu baina ya kiba na diamond.

pamoja mkuu huu unaitwa uungwana kuna ishu kama hizi lazima umpongeze mtani na jirani yako. Hongera sana zari na mond
 
Last edited by a moderator:
Dai naye sasa hapo si amepoteza maana nzima ya privacy! Kweli mtoto wa tandale hawezi kuficha siri.By the way pole yake Wema sepetu.

hivi ume elewa maana ya hiyo post yake?

alicho fanya ni sapraizi kafunga ndoa bila kutangaza ili kuepuka vurugu za paparazi na visokolokwinyokolo km team wema that is what he ment with his words "sometimes privacy has more blessings"
 
pamoja mkuu huu unaitwa uungwana kuna ishu kama hizi lazima umpongeze mtani na jirani yako. Hongera sana zari na mond

Kabisa mkuu.Binafsi namkubali sana el nino pamoja na tofauti zetu hizi za UKiba na UDiamond bado tumebakia kua marafiki wazuri tu.
Ikitokea mada kati ya hao wawili tunachapana kwelikweli ila baada ya hapo tunajumuika fresh kwenye mambo mengine.
Pia Ruttashobolwa kidooogo maana hatujawahi kuchapana live u know...lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom