Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Ukimaliza degree ya sheria unakwenda law school mwaka mmoja ndio unakuwa Wakili, zamani haikuwa hivyo.Ndo nami nasangaa. Iweje uwe wakili bila kujifunza sheria?
Kila Wakili ni mwanasheria, lakini si kila mwanasheria ni Wakili.Kwa hiyo uwakili ni zaidi ya uanasheria!?
Haha nimekukamata vizuri popoma wewe.Watu kama nyie ndio mnaofeli halafu mnasingizia chuo.
Law school inatoa wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
Haitoi mawakili.
Anayetoa uwakili ni Jaji Mkuu.
Ukifaulu Law School, bado hauwi wakili moja kwa moja , lazima utume maombi kwa jaji mkuu ambaye atakuita kukufanyia interview baada ya muda wa mapingamizi kupita.
Unaweza ukafaulu law school na usiapishwe kuwa wakili kama jaji mkuu atakubaliana na mapingamizi yaliyetwa juu yako.
Hivyo Law School haitoi mawakili bali wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
Kwahiyo unaweza kutoka veta ukaenda kuomba uwakili kwa Jaji mkuu?Watu kama nyie ndio mnaofeli halafu mnasingizia chuo.
Law school inatoa wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
Haitoi mawakili.
Anayetoa uwakili ni Jaji Mkuu.
Ukifaulu Law School, bado hauwi wakili moja kwa moja , lazima utume maombi kwa jaji mkuu ambaye atakuita kukufanyia interview baada ya muda wa mapingamizi kupita.
Unaweza ukafaulu law school na usiapishwe kuwa wakili kama jaji mkuu atakubaliana na mapingamizi yaliyetwa juu yako.
Hivyo Law School haitoi mawakili bali wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
Hiyo ni taaluma sio siasa.Haha nimekukamata vizuri popoma wewe.
Narudia tena kukusahihisha; Law school inatoa mawakili sio wanasheria.
Mwanasheria na wakili ni watu wawili tofauti kabisa ila layman kama wewe hawezi kuelewa kamwe.
Yaani ndio nilitaka kusema ivyo. Juzi hapa mtu anakisema iko chuo. Leo mtu mwingine anakisifia.Mnatuchanganya, mwingine ameandika siasa chafu za law shool.
Masaa 17 baadae unakuja wewe na counter thread ya kuwaambia hongereni. Sisi tusioyajua ya ndani, tushike lipi?
Mwanasheria ni yule ambae ana Diploma/Bachelor Degree ila hajaenda kusoma law school na hana Muhuri wa Mwanasheriawanasheria na mawakili
Emu nipe link mkuuYaani ndio nilitaka kusema ivyo. Juzi hapa mtu anakisema iko chuo. Leo mtu mwingine anakisifia.
Mkuu, taasisi nyingi za elimu ya juu hapa Tanzania zinaongozwa na watu wa hovyo sana. Nilisoma IAA miaka ya nyuma huko yaani lecturer anasema lazima akupe Supp na kweli mtu anaipata.Mleta mada nini kimekufanya uje na huu uzi, sio umeona malalamiko yamezidi ndio maana? Naamini utakuwa umesoma gazeti la Mwananchi la leo, wengi mno wanafeli.
Sioni sababu kwanini wanafunzi wengi wafeli kiasi hicho, ni either walimu ni incompetent, au kama ni competent, basi wanawafelisha makusudi hao wanafunzi, na kama muda wa masomo ni mfupi wauongeze, lakini sio huu utapeli wanaoufanya wa kula bure ada za wanafunzi.
Sijawahi kuona shule inayosifiwa kwa kufelisha wanafunzi wengi hapa duniani zaidi ya hiyo Law School, sifa yao kuu imekuwa ni kufelisha, na ajabu wajinga mnawapongeza.
Ni sawa ukasema anaetoa Diploma au Degree ni RectorWatu kama nyie ndio mnaofeli halafu mnasingizia chuo.
Law school inatoa wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
Haitoi mawakili.
Anayetoa uwakili ni Jaji Mkuu.
Ukifaulu Law School, bado hauwi wakili moja kwa moja , lazima utume maombi kwa jaji mkuu ambaye atakuita kukufanyia interview baada ya muda wa mapingamizi kupita.
Unaweza ukafaulu law school na usiapishwe kuwa wakili kama jaji mkuu atakubaliana na mapingamizi yaliyetwa juu yako.
Hivyo Law School haitoi mawakili bali wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
Hapana ni sawa na Accountant asiye na CPA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti VetaKwahiyo unaweza kutoka veta ukaenda kuomba uwakili kwa Jaji mkuu?
Hivi Ccm uko huwa wanawaingiza nini kwenye ubongo?
Kuna siku nilipita pale nje kwenye Stationary zao, nikitaka Katiba ya Tanzania toleo la mwisho la Mwaka 2008! Ajabu nilikutana na Katiba toleo la 2005 ndo zinauzwa! Nilichoka sana kwakweliKwa moyo wa dhati nipende kuwashukuru watendaji wote wa Law School of Tanzania (shule ya sheria ) kwa kuzingatia weledi katika kufundisha na hatimaye kutoa wanasheria ambao watatumika serikalini pamoja na sekta binafsi.
Napenda nikiri wazi kabisa kwamba shule hii ni moja wapo ya taasisi chache za Serikali zinazozingatia weledi.
Watendaji wake hawafungwi na jina la mwanafunzi wala uwezo wake kiuchumi.
Wanazingatia kujiweka mbali na ukaribu na wanafunzi utaopelekea kutoa upendeleo katika usahihishaji.
Wanazingatia mno ubora wa mwanafunzi katika kutoa kile alicho nacho kichwani kwake.
Nawaomba wasiache hata mara moja ubora huu kwani kwa kufanya hivyo wataliangamiza Taifa kwa kutoa wanasheria wasiokuwa na uwezo hivyo kuharibu taaluma ya sheria.
Mungu aendelee kuwatia nguvu kwa kusimamia taaluma zenu kwa manufaa ya Taifa.
Asante sana Mkuu Kwa ufafanuzi. Ubarikiwe. Sasa najaribu kuwaza kuwa Kuna uwezekano wa kumpata Mwanasheria wa Serikali asiye na muhuri? Maana naona hapa muhuri mpaka uende kwenye hiyo shule. Pia mwenye muhuri yaonekana ni mzito kuliko asiye na Muhuri. Sasa kama ni mzito kwa nini kwenye Cheo cha Mwanasheria Mkuu wa serikali kisitumike Cheo Hiki kikuu? Yaani Wakili Mkuu wa serikali (nadhani kiki Cheo kipo) ndiye afanye kazi za Mwanasheria Mkuu wa serikali. Natanguliza Shukrani kwa majibu.Mwanasheria ni yule ambae ana Diploma/Bachelor Degree ila hajaenda kusoma law school na hana Muhuri wa Mwanasheria
Wakili ana Bachelor Degree, ameenda law school na ana Muhuri wa Mwanasheria
Ushaelewa tofauti yao hapo mkuu au nirudie?
Sawa mkuuAsante sana Mkuu Kwa ufafanuzi. Ubarikiwe.
Wewe walimu wako walipata shida sana, kuwa mwanasheria siyo lazima uwe Wakili, ila kuwa Wakili ni lazima uwe mwanasheria, ni nini huelewi hapo?Asante sana Mkuu Kwa ufafanuzi. Ubarikiwe. Sasa najaribu kuwaza kuwa Kuna uwezekano wa kumpata Mwanasheria wa Serikali asiye na muhuri? Maana naona hapa muhuri mpaka uende kwenye hiyo shule. Pia mwenye muhuri yaonekana ni mzito kuliko asiye na Muhuri. Sasa kama ni mzito kwa nini kwenye Cheo cha Mwanasheria Mkuu wa serikali kisitumike Cheo Hiki kikuu? Yaani Wakili Mkuu wa serikali (nadhani kiki Cheo kipo) ndiye afanye kazi za Mwanasheria Mkuu wa serikali. Natanguliza Shukrani kwa majibu.
Law school wanatoa Postgraduate diploma in legal practiceHaha nimekukamata vizuri popoma wewe.
Narudia tena kukusahihisha; Law school inatoa mawakili sio wanasheria.
Mwanasheria na wakili ni watu wawili tofauti kabisa ila layman kama wewe hawezi kuelewa kamwe.