Hongereni sana Law School of Tanzania kwa kulinda ubora wa fani ya sheria hapa Nchini

Hongereni sana Law School of Tanzania kwa kulinda ubora wa fani ya sheria hapa Nchini

Watu kama nyie ndio mnaofeli halafu mnasingizia chuo.

Law school inatoa wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.

Haitoi mawakili.

Anayetoa uwakili ni Jaji Mkuu.

Ukifaulu Law School, bado hauwi wakili moja kwa moja , lazima utume maombi kwa jaji mkuu ambaye atakuita kukufanyia interview baada ya muda wa mapingamizi kupita.

Unaweza ukafaulu law school na usiapishwe kuwa wakili kama jaji mkuu atakubaliana na mapingamizi yaliyetwa juu yako.

Hivyo Law School haitoi mawakili bali wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
Haha nimekukamata vizuri popoma wewe.

Narudia tena kukusahihisha; Law school inatoa mawakili sio wanasheria.

Mwanasheria na wakili ni watu wawili tofauti kabisa ila layman kama wewe hawezi kuelewa kamwe.
 
Kwahiyo unaweza kutoka veta ukaenda kuomba uwakili kwa Jaji mkuu?

Hivi Ccm uko huwa wanawaingiza nini kwenye ubongo?
 
Haha nimekukamata vizuri popoma wewe.

Narudia tena kukusahihisha; Law school inatoa mawakili sio wanasheria.

Mwanasheria na wakili ni watu wawili tofauti kabisa ila layman kama wewe hawezi kuelewa kamwe.
Hiyo ni taaluma sio siasa.

Bottom line is Law School haitoi mawakili inatoa wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
 
Waalimu wa hiyo taasisi sio effective.

Taifa lingeweza pata mawakili bora na wengi zaidi kwa wahitimu wa sheria kufanya mtihani(bar examination) baada ya kujifunza sheria kwa vitendo
(apprenticeship) kwenye ofisi za mawakili wabobezi na mahakama kwa angalau miaka miwili baada ya kuhitimu.
 
Mnatuchanganya, mwingine ameandika siasa chafu za law shool.

Masaa 17 baadae unakuja wewe na counter thread ya kuwaambia hongereni. Sisi tusioyajua ya ndani, tushike lipi?
Yaani ndio nilitaka kusema ivyo. Juzi hapa mtu anakisema iko chuo. Leo mtu mwingine anakisifia.
 
Mleta mada nini kimekufanya uje na huu uzi, sio umeona malalamiko yamezidi ndio maana? Naamini utakuwa umesoma gazeti la Mwananchi la leo, wengi mno wanafeli.

Sioni sababu kwanini wanafunzi wengi wafeli kiasi hicho, ni either walimu ni incompetent, au kama ni competent, basi wanawafelisha makusudi hao wanafunzi, na kama muda wa masomo ni mfupi wauongeze, lakini sio huu utapeli wanaoufanya wa kula bure ada za wanafunzi.

Sijawahi kuona shule inayosifiwa kwa kufelisha wanafunzi wengi hapa duniani zaidi ya hiyo Law School, sifa yao kuu imekuwa ni kufelisha, na ajabu wajinga mnawapongeza.
Mkuu, taasisi nyingi za elimu ya juu hapa Tanzania zinaongozwa na watu wa hovyo sana. Nilisoma IAA miaka ya nyuma huko yaani lecturer anasema lazima akupe Supp na kweli mtu anaipata.
 
Watu kama nyie ndio mnaofeli halafu mnasingizia chuo.

Law school inatoa wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.

Haitoi mawakili.

Anayetoa uwakili ni Jaji Mkuu.

Ukifaulu Law School, bado hauwi wakili moja kwa moja , lazima utume maombi kwa jaji mkuu ambaye atakuita kukufanyia interview baada ya muda wa mapingamizi kupita.

Unaweza ukafaulu law school na usiapishwe kuwa wakili kama jaji mkuu atakubaliana na mapingamizi yaliyetwa juu yako.

Hivyo Law School haitoi mawakili bali wanasheria wenye sifa ya kuwa mawakili.
Ni sawa ukasema anaetoa Diploma au Degree ni Rector

Unachanganya madesa mkuu emu endelea kujifunza
 
Hapana ni sawa na Accountant asiye na CPA

Siku hizi nayo huenda imekuwa simplified maana hata ambao hawana msingi wa Accouts wanazipata kirahisi tu tofauti na zamani!

Mtu amesoma course irrelevant sijui masomo gani ya arts n.k. Lakini utasikia amepata CPA [emoji87]

Naona kama heshima imeshuka!

Jamaa sijui kachoka yule?!

Hatusemi kuwa wabane sana kama zamani lakini pia sizani kama ni sahihi kuirwhisisha kiasi kwamba hata ambae hajasoma
Masomo ya commerce na bookkeeping and the related one tangu Shule ya msingi hadi chuo kikuu halafu aje kupata CPA itashangaza mno aisee?!

Kama mtu yeyote anaweza kupata!
 
Kwa moyo wa dhati nipende kuwashukuru watendaji wote wa Law School of Tanzania (shule ya sheria ) kwa kuzingatia weledi katika kufundisha na hatimaye kutoa wanasheria ambao watatumika serikalini pamoja na sekta binafsi.

Napenda nikiri wazi kabisa kwamba shule hii ni moja wapo ya taasisi chache za Serikali zinazozingatia weledi.

Watendaji wake hawafungwi na jina la mwanafunzi wala uwezo wake kiuchumi.

Wanazingatia kujiweka mbali na ukaribu na wanafunzi utaopelekea kutoa upendeleo katika usahihishaji.

Wanazingatia mno ubora wa mwanafunzi katika kutoa kile alicho nacho kichwani kwake.

Nawaomba wasiache hata mara moja ubora huu kwani kwa kufanya hivyo wataliangamiza Taifa kwa kutoa wanasheria wasiokuwa na uwezo hivyo kuharibu taaluma ya sheria.

Mungu aendelee kuwatia nguvu kwa kusimamia taaluma zenu kwa manufaa ya Taifa.
Kuna siku nilipita pale nje kwenye Stationary zao, nikitaka Katiba ya Tanzania toleo la mwisho la Mwaka 2008! Ajabu nilikutana na Katiba toleo la 2005 ndo zinauzwa! Nilichoka sana kwakweli
 
Mwanasheria ni yule ambae ana Diploma/Bachelor Degree ila hajaenda kusoma law school na hana Muhuri wa Mwanasheria

Wakili ana Bachelor Degree, ameenda law school na ana Muhuri wa Mwanasheria

Ushaelewa tofauti yao hapo mkuu au nirudie?
Asante sana Mkuu Kwa ufafanuzi. Ubarikiwe. Sasa najaribu kuwaza kuwa Kuna uwezekano wa kumpata Mwanasheria wa Serikali asiye na muhuri? Maana naona hapa muhuri mpaka uende kwenye hiyo shule. Pia mwenye muhuri yaonekana ni mzito kuliko asiye na Muhuri. Sasa kama ni mzito kwa nini kwenye Cheo cha Mwanasheria Mkuu wa serikali kisitumike Cheo Hiki kikuu? Yaani Wakili Mkuu wa serikali (nadhani kiki Cheo kipo) ndiye afanye kazi za Mwanasheria Mkuu wa serikali. Natanguliza Shukrani kwa majibu.
 
Wewe walimu wako walipata shida sana, kuwa mwanasheria siyo lazima uwe Wakili, ila kuwa Wakili ni lazima uwe mwanasheria, ni nini huelewi hapo?
 
Haha nimekukamata vizuri popoma wewe.

Narudia tena kukusahihisha; Law school inatoa mawakili sio wanasheria.

Mwanasheria na wakili ni watu wawili tofauti kabisa ila layman kama wewe hawezi kuelewa kamwe.
Law school wanatoa Postgraduate diploma in legal practice
 
Back
Top Bottom