Hongereni sana mabinti/wanawake wa Kisukuma kwa haya

Hongereni sana mabinti/wanawake wa Kisukuma kwa haya

Wasukuma tupo matabaka mengi sana.
Mabinti wa kisukuma tabaka la wanyantunzu (wale weupee) wana nyodo sana na mara zote hawathamini utafutaji wa mwanaume. Ikitokea umeteteleka kidogo kiuchumi lazima akukimbie.
Halafu niwepesi sana kulubuniwa na mwanaume hata kama yupo kwenye ndoa na mna watoto anaweza akakutoroka na kwenda kuolewa kwingine!
Wasukuma wa Geita nao vipi?
 
Kwa sasa sio wa kuoa ingawa wanakubalika sana kwenye jamii zetu labda kwa sababu ya historia na ile kuonekana kama wana heshima sana
 
Ok,iko hv.huku tupo wasukuma mikoa mitano yote ni ya kwetu,na nitajaribu kwa kifupi kuchambua kulingana na maeneo yetu.
1.ikumbukwe tunaishi Tabora,Shinyanga,Simiyu,Mwanza,Geita na pembezoni mwote mwa ziwa victoria
2.Wasukuma wa Tabora ni wakarimu japo wana kanamna ka kupenda kidogo ushirikina lakini ni wavumilivu ktk mapenzi,wao wana destuli ya uvivu kidogo wa kuchapa kazi lakini si wavivu kiasi cha kuwasema vibaya,wapole na hawana mawaa na mtu awaye yote
3.Wasukuma wa Shinyanga,ni wachapa kazi na wakarimu,na kwa namna fulani hv ni wakorofi kidogo na hawapendi kuonewa.
4.Wasukuma wa Simiyu,hawa ni wakorofi na ni wakarimu pia,ni wachapa kazi kweli kweli hawana uvivu,wanatafuta mali hata kama wewe mwanaume umelala ndani au umetelekeza familia usitegemee watoto watakufa na njaa.
5.Wasukuma wa Mwanza ni the same na Geita,hawa hata wewe uwe wa makabila mengine nenda kaoe,ni wakarimu kupitiliza na wapole sana,hawa mume anaweza kuoa mke wa pili lakini yeye akaishia kulia machozi kwa siku moja then anatulia na kusamehe na mambo yanaendelea,na hawa ndiyo wenye shepu nzuri na ni Blackbeauty kweli kweli tofauti na wa Simiyu na Shy ambao wao ni weupe,wanaitwa wanyantuzu.hakuna desturi ya ukeketaji,na wasukuma wote siyo wachoyo hasa wa chakula.wao humkirimu mgeni yeyote ajaye nyumbani mwao au maeneo yao.
6.TAHADHARI.kama utakuja wewe mtu wa makabila mengine ukaoa mke wa SIMIYU mnyantuzu,elewa una mwanajeshi iwapo utamletea za kuleta,hao ndo wana sifa hata ya kukutoa roho ukiwa umepata pesa na ukajidai kumchanganyia habari zako.hii ni kwa ufupi
N.B ni wakarimu na wachapa kazi all Sukuma.ASANTE
Hapo Geita ndio nimepapenda maana kuna kibinti kimenilegeza nati za moyo 😁 ni kazuri kweri kweri
na kapole kenyewe kanatabasamu tu!
 
wasifie pia kwa haya
umesahau wanakula sana ugali na vyakula vigumu
hawasazi vyakula wapo effective ku utilize chakula
pia waponde kwa hili
wanadanganyika kwa vitu vidogo
wew msukuma ukitaka kumuoa jaza vyakula ndani akiingia humo ndani hatoki
 
Habarini Wadau,

Napenda kutoa pongezi kwa Wanawake wengi wa kisukuma kwa kuwa na tabia njema kulinganisha na makabila mengi hapa nchini,kwa mfano:-

1) HESHIMA: Hawa mabinti wa kisukuma na hata wamama wa huko wengi wao wana adabu na heshima sana. Ukimwoa msukuma na kumpa tu hela ya msosi wa kutosha atakuheshimu sana na kukujali kama Mume. Heshima ipo ndani ya damu zao.

2) WENGI SIO WAKATILI:

Ukiwalinganisha wanawake wa kisukuma na wa makabila mengine,hawa wa kisukuma ni wapole zaidi na wenye utu.

Na kwa jinsi wasukuma walivyo wengi Tanzania hii....basi kama wanawake wao wangekuwa na roho mbaya za kikatili tungesikia sana wakisemwa vibaya. Imagine ni kabila lenye watu wengi kuliko yote Tanzania ila husikii wakiogopwa na wanaume na kujulikana kwa ukatili.

3) WANA NGOZI NA MAUMBO MAZURI:

Sio siri wanawake wa kisukuma 98% wana shapes za ukweli, hasa t*ako nzito nzito za maana, bila kusahau ngozi zao nyeusi za kuteleza. Sijui ni zile samaki za ziwa victoria wanazokula?

Sio rahisi ukute mdada wa kisukuma ana flat screen.

Hongereni mabinti/Wanawake wa kisukuma.
Hahaha
 
Back
Top Bottom