The realy Ngosha
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 340
- 529
Shida ya majibizano haya wengi wanaopinga juu ya ukeketaji humu ni hawa vijana wa juz na jana alafu mnakuja humu mnataka kutuaminisha vijana wazamani kwamba makabila yenu hamna ukeketaji ! Kaeni chini na wazee wenu mzungumze watawambia juu ya mambo ayo.
Mkuu kwa uhakika kabisa kama kuna kabira halikeketi kabisa watu wake nchi hii basi ni WASUKUMA! Sio tu wanawake hata wanaume hiyo kitu hatufanyi, na wala haipo kwenye mira na destuli zetu. Ispokua kwa wachache waliokwenda shule na kwawaliochanganyikana na jamii zinazofanya hiyo mambo. Na imetuletea shida sana mjini maana tulichekwa sana kwa kua na magovi mpaka watu wazima! Na ndio maana sasaivi kuna-campaign ya kutairi wanaume watu wazima na watoto kanda yote ya ziwa kasoro mkoa wa mara maana wao wanakeketwa wote (wanaume na wanawake)! Na hao wasukuma wamekubariana na campaign hiyo kwa sababu watoa semina wanasema inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya ukimwi vinginevyo usingewapata.