Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Ndio maaana niliamua kuoa usukumani
Ungeamua kuoa uchagani ungejuta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maaana niliamua kuoa usukumani
Bibie umeolewa?Najivunia usukuma wangu
Makabira = MakabilaHahhahha hizi kiki hadi kwenye makabira!!?
si kweliWengi wao wameondolewa kiharage
ulimola ahene?Najivunia usukuma wangu
lini mlisahaulika?😵wasukuma tumekukumbukwa leo
Tuache haya malumbano sio mazuri mkuu.Wengi wao wameondolewa kiharage
Teh! Uko njema........njomba chilumbile na mulungu chingile mnyavu chakumemena ....!
Kwamba ...eee nyuma ruksa???WA dar wana vinasaba vya kizaramo!!
Hiyo laana yako mm sipo!Kwamba ...eee nyuma ruksa???
Wasukumaa sina ata amu nao...![emoji23] [emoji23]
Mkuu, hii umeitoa wapi? Hakuna kitu kama hicho.Wengi wao wameondolewa kiharage
Gashinaga?Asante sana mkuu kwa kutambua uwepo wetu!!
OkNilishawahi kukaa huko Songea, nilikuwa najionea zile sherehe za "kumtoa mwali" tafsili yangu ilinituma kuamini kuwa mambo haya huendana na matukio ya ukeketaji!
Nisameheni aisee penyeapo nimekosea...!!