Hongereni sana NEMC kwa kuanza udhibiti kelele kwenye bar lakini fanyeni haya kuboresha zoezi

Vifaa vikiharibika?
Mwendo wa Faini unatosha, watajitambua tu
Serikali inaweza tunga kanuni ya kutaifisha endapo kuna kero!
Mfano gari lako lilikamatwa limebeba meno ya tembo huwa linataifishwa au kuteketezwa
 
Serikali inaweza tunga kanuni ya kutaifisha endapo kuna kero!
Mfano gari lako lilikamatwa limebeba meno ya tembo huwa linataifishwa au kuteketezwa
Hapo sawa, ila vifaa huenda havina thamani ya milioni 5
 
Mimi wakianza kuwadhibiti hawa walokole walioko kila mtaa na spika zao za SUNDAR ndio ntawaelewa zaidi

wanafungulia miziki SAUTI KUUBWA

yani kelele nyingi kila siku utafikiri kesho mwisho wa dunia, tena katikati ya makazi ya watu
Wenyewe hao ni warokale
 
Hapo sawa, ila vifaa huenda havina thamani ya milioni 5
Umeielewa hoja yangu? Kufunga baa nikuibua mgogoro na walevi ambao wana vyeo watasumbua operesheni ife
 
Ila NEMC wajiongeze, je kelele za machinga wakiuza vitukwa sauti, barabarani ni halali? Wameweka vipaza sauti wengine wanaimba kwaya yao. Yaani ni vurugu kubwa na usumbufu mkubwa. Fikiria mtu anakataa huko Kariakoo, Mbagala, Ilala n.k nemc tafadhali fuatilia jambo hili
 
Hizo kelele za watu waliojigeuza ambulance huwa hazina mazara sana kwasababu zinatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…