HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Vifaa vikiharibika?Kesi gan?
Mwendo wa Faini unatosha, watajitambua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaa vikiharibika?Kesi gan?
Serikali inaweza tunga kanuni ya kutaifisha endapo kuna kero!Vifaa vikiharibika?
Mwendo wa Faini unatosha, watajitambua tu
Hapo sawa, ila vifaa huenda havina thamani ya milioni 5Serikali inaweza tunga kanuni ya kutaifisha endapo kuna kero!
Mfano gari lako lilikamatwa limebeba meno ya tembo huwa linataifishwa au kuteketezwa
Lengo ni kutokomeza keroHapo sawa, ila vifaa huenda havina thamani ya milioni 5
Wenyewe hao ni warokaleMimi wakianza kuwadhibiti hawa walokole walioko kila mtaa na spika zao za SUNDAR ndio ntawaelewa zaidi
wanafungulia miziki SAUTI KUUBWA
yani kelele nyingi kila siku utafikiri kesho mwisho wa dunia, tena katikati ya makazi ya watu
Umeielewa hoja yangu? Kufunga baa nikuibua mgogoro na walevi ambao wana vyeo watasumbua operesheni ifeHapo sawa, ila vifaa huenda havina thamani ya milioni 5
Watazifungua tuu! Kelele isizuie walevi kunywa pombeWenyewe hao ni warokale
Ila NEMC wajiongeze, je kelele za machinga wakiuza vitukwa sauti, barabarani ni halali? Wameweka vipaza sauti wengine wanaimba kwaya yao. Yaani ni vurugu kubwa na usumbufu mkubwa. Fikiria mtu anakataa huko Kariakoo, Mbagala, Ilala n.k nemc tafadhali fuatilia jambo hiliNawapa pongezi sana kwa mwanzo huu!
NEMC Mkiamua mnaweza!
Mmefanikiwa kufungia bar chache zinazopiga miziki mikubwa! Ni jambo jema sana!
Naomba kushauri jambo moja ndugu zetu NEMC!
Kuna msemo Wataalam wanasema "Good approach, Bring best Result"
Hakika mmethubutu kuwaonya hawa watu wanakela sana na kelele zao!
Lakini kuna jambo mnatakiwa muwe nalo makini sana ili zoezi lenu lifanikiwe!
HAKIKISHENI Ugomvi wenu na wamiliki wa bar hauathili mlevi akose sehemu ya kwenda kulewa!
Msiongeze maadui katika operesheni yenu ili wasije geuka kuwatetea wenye bar kwa hoja za ajira na mapato ya serikali (kodi)
Punguzeni maadui kwa kuondoa kero pasipo kuunda kero nyingine!
Siyo kila bar lazima iwe na mziki mkubwa ili wateja wanywe bia! Hapana!
Hivyo nashauri fanyeni hivi!
1. Mara ya kwanza onyeni wamiliki wenyewe wa bar kwa barua na nakala ya barua hiyo waachieni hapo serikali ya mtaa wao kwa ajili ya kumbukumbu ya onyo hilo.
2. Siku ya pili Pokonyeni na mtaifishe hiyo miziki (spika&mixer).
3. Wekeni namba ya simu ya miito (call center) kwa taaarifa! Ili watu wanaporipoti taarifa ziwe recorded kwa ufuatiliaji ili hata kama kuna mazingira ya rushwa kwa baadhi ya watumishi! Muwe mnapitia report ambazo zijazwe online ofisini (yaani report ijazwe kwenye system ili iwe rahisi kuipitia) kwa kuwapigia simu wateja kama bado wanaendelea kusikia mziki baada katika eneo walilolitolea taarifa!
Maoni yangu mengine pitia uzii huu
- Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani
Hizo kelele za watu waliojigeuza ambulance huwa hazina mazara sana kwasababu zinatembeaIla NEMC wajiongeze, je kelele za machinga wakiuza vitukwa sauti, barabarani ni halali? Wameweka vipaza sauti wengine wanaimba kwaya yao. Yaani ni vurugu kubwa na usumbufu mkubwa. Fikiria mtu anakataa huko Kariakoo, Mbagala, Ilala n.k nemc tafadhali fuatilia jambo hili