Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

Nilisikia mkisema nchi imefunguliwa,

Uhuru wa kibiashara tele

Uchumi unakua

Jana nmeshangaa kuambiwa eti wafanyabiashara wa nchi jirani wanahama! Wanahamaje nchi imefunguliwa
Utajibiwa kuwa sukuma gang ndio wanamsumbua Hangaya.
 
Kero ya TRA ni Tanzania nzima, Kariakoo wameonyesha mwanga ila mgomo ulitakiwa kuwa Tanzania bara nzima sidhani kama kuna mfanyabiashara hajakumbwa na kadhia ya TRA
 
Nilisikia mkisema nchi imefunguliwa,

Uhuru wa kibiashara tele

Uchumi unakua

Jana nmeshangaa kuambiwa eti wafanyabiashara wa nchi jirani wanahama! Wanahamaje nchi imefunguliwa
Utajibiwa kuwa sukuma gang ndio wanamsumbua Hangaya.
 
Bado Wastaafu wanaolipwa Kikokotoo kuandamana , kudai pesa zao za Mafao walipwe kama Wastaafu Wote WA Nchi hii walivyokuwa Wanaolipwa Awali. Haiwezekani Mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekeze Miradi isiyolipa Kwa Fedha zao halafu eti Walipwe 33% ya Stahiki zao huko eti 67% inabaki halafu wanaolipwa Kwa kuhesabiwa miaka 12 na Nusu.Ukifa kabla ya miaka 12 ndio Mwisho.
 
Sheria Kandamizi hupitishwa haraka Sana bila Kushirikiana na Wadau.
 
Back
Top Bottom