Bado Wastaafu wanaolipwa Kikokotoo kuandamana , kudai pesa zao za Mafao walipwe kama Wastaafu Wote WA Nchi hii walivyokuwa Wanaolipwa Awali. Haiwezekani Mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekeze Miradi isiyolipa Kwa Fedha zao halafu eti Walipwe 33% ya Stahiki zao huko eti 67% inabaki halafu wanaolipwa Kwa kuhesabiwa miaka 12 na Nusu.Ukifa kabla ya miaka 12 ndio Mwisho.