Hongereni TPDC kwa hatua kubwa kama hii

Hongereni TPDC kwa hatua kubwa kama hii

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
270
Reaction score
362
Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma.

Lengo la kujenga kituo cha CNG (Compressed Natural Gas) ni kurahisha upatikanaji wa gesi katika maeneo ambayo hayana huduma ya gesi kwa njia ya mabomba. Kituo kikubwa UDSM kitakuwa kimekamilika hadi kufikia 2023.

Kituo hicho mama cha UDSM kitahudumia vituo vidogo vitatu ambapo vituo viwili viko katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kituo kimoja kitakuwa katika soko la samaki feri Kigamboni Dar es Salaam.

Vituo vya muhimbili vitaanza kuzalisha mvuke kwa ajili ya kupikia pia baadae wataanza kuuza kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Gesi hiyo itaweza pia kusafirishwa kuelekea mikoani kwa ajili ya kuwasogezea wateja gesi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo kupikia.
 
June 8 sio wiki iliyopita.

Ila kongole kwao, tunatumaini hayataishia kwenye makaratasi.

Ila najiuliza mbona walisema kwa kuwa gesi ipo kule kinyerezi wataanza kufanya pilot sites kinyerezi. Hii iliishia wapi? Au washasahau?
 
Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma.

Lengo la kujenga kituo cha CNG (Compressed Natural Gas) ni kurahisha upatikanaji wa gesi katika maeneo ambayo hayana huduma ya gesi kwa njia ya mabomba. Kituo kikubwa UDSM kitakuwa kimekamilika hadi kufikia 2023.

Kituo hicho mama cha UDSM kitahudumia vituo vidogo vitatu ambapo vituo viwili viko katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kituo kimoja kitakuwa katika soko la samaki feri Kigamboni Dar es Salaam.

Vituo vya muhimbili vitaanza kuzalisha mvuke kwa ajili ya kupikia pia baadae wataanza kuuza kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Gesi hiyo itaweza pia kusafirishwa kuelekea mikoani kwa ajili ya kuwasogezea wateja gesi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo kupikia.

Utapeli mtupu.
 
... vituo vya kuchakata materials za hatari kama gesi vijengwe maporini huko na sio maeneo yenye wakazi wengi kama UDSM; ni hatari sana kwa usalama - kituo kulipuka (hitilafu za mitambo, force majeure), kulipuliwa (times of war), n.k. Ndio uwezo wa wataalamu wetu ulipoishia anyway!
 
Kama, vitu huvielewi bora uwe unatulia na kusikiliza wengine ili kuiepuka aibu.
 
Ni jambo zuri sana
Badala ya kuisubiri large scale LNG nakuomba waziri wa nishati tujikite kwenye small scale LNG na Mobile CNG stations zenye mitaji midogo
 
... vituo vya kuchakata materials za hatari kama gesi vijengwe maporini huko na sio maeneo yenye wakazi wengi kama UDSM; ni hatari sana kwa usalama - kituo kulipuka (hitilafu za mitambo, force majeure), kulipuliwa (times of war), n.k. Ndio uwezo wa wataalamu wetu ulipoishia anyway!
Rejea hapa,
 
Kama, vitu huvielewi bora uwe unatulia na kusikiliza wengine ili kuiepuka aibu.
... kujenga kituo kikubwa cha kuchakata gesi sehemu kama UDSM ni matumizi mabovu ya akili! Huwa mnakuwa wabishi hivi hivi yakitokea inakuwa ni aibu ya taifa zima!

Wakati mnajenga karakana kuu ya mwendokasi pale Jangwani watu walihoji hivi hivi; mlichoweza ni majibu ya dharau na kebehi! Kiko wapi?
 
Ndio maana nmesema kama jambo hulielewi uwe unauliza kwanza
 
... vituo vya kuchakata materials za hatari kama gesi vijengwe maporini huko na sio maeneo yenye wakazi wengi kama UDSM; ni hatari sana kwa usalama - kituo kulipuka (hitilafu za mitambo, force majeure), kulipuliwa (times of war), n.k. Ndio uwezo wa wataalamu wetu ulipoishia anyway!
Unadhani kuna unaakili sana kuliko watu waliopo huko TPDC, kwani wakati wa vita vituo huko maporini haviwezi kufikiwa? Una mawazo ya kihafidhina sana.
 
... nimetoa mfano wa ujenzi wa karakana ya mwendokasi Jangwani - Dar; waliojenga ile karakana hawakuwa na akili? Kosa lilelile linarudiwa ujenzi wa mtambo wa kuchakata gesi UDSM! Materials za milipuko kama gesi unawezaje kujenga kiwanda cha kuzichakata sehemu kama UDSM?
 
Bora umesema wewe. Kuna watu kazi yao moja tu, ni kukosoa bila kutoa maagizo. Watu hao hudhani kwamba kila kitu Serikali hujifanyia tu, kumbe kuna tafiti za kutosha ambazo zinasupport decisions.
.... kama ule utafiti wa kutosha uliofanyika Jangwani ujenzi wa mwendokasi au sio? Hata mitambo ya Tanesco pale Ubungo kwa sasa sio mahali sahihi kwa sasa!
 
Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma.

Lengo la kujenga kituo cha CNG (Compressed Natural Gas) ni kurahisha upatikanaji wa gesi katika maeneo ambayo hayana huduma ya gesi kwa njia ya mabomba. Kituo kikubwa UDSM kitakuwa kimekamilika hadi kufikia 2023.

Kituo hicho mama cha UDSM kitahudumia vituo vidogo vitatu ambapo vituo viwili viko katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kituo kimoja kitakuwa katika soko la samaki feri Kigamboni Dar es Salaam.

Vituo vya muhimbili vitaanza kuzalisha mvuke kwa ajili ya kupikia pia baadae wataanza kuuza kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Gesi hiyo itaweza pia kusafirishwa kuelekea mikoani kwa ajili ya kuwasogezea wateja gesi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo kupikia.
Kituo kikubwa kitahudumia vituo vidogo vitatu! Kwahiyo kituo kidogo kitahudumia kituo kimoja, hata hivyo wamekosa eneo salama na mafaka badala ya eneo la makazi ya watu?
 
ufafanuzi kidogo hapa unahitajika,hii LNG inaweza kuhifadhiwa kwenye mitungi kama ilivyo kwa LPG...?
 
Back
Top Bottom