Hongereni TPDC kwa hatua kubwa kama hii

Hongereni TPDC kwa hatua kubwa kama hii

... hilo halihitaji hata kuuliza! By all means, eneo kama UDSM sio sehemu sahihi ya kujenga mtambo wa kuchakata gesi.
Basi najitolea kukuelewesha, nikituo cha kubadili gesi asilia ya pressure ya kawaida kuwa gesi asilia iliyokandamizwa (CNG). Vituo hivi huwezi kujenga porini, ambako hakuna wateja. Hujengwa maeneo yaliyokaribu na wateja ili kurahisisha usambazaji.
 
.... kama ule utafiti wa kutosha uliofanyika Jangwani ujenzi wa mwendokasi au sio? Hata mitambo ya Tanesco pale Ubungo kwa sasa sio mahali sahihi kwa sasa!
Kama ni hivyo, overtime kila kitu hakitakuwa sehemu sahihi at some point. So kama vinahamishika tuache kazi ifanyike ukifika wakati tutahamisha.
 
... nimetoa mfano wa ujenzi wa karakana ya mwendokasi Jangwani - Dar; waliojenga ile karakana hawakuwa na akili? Kosa lilelile linarudiwa ujenzi wa mtambo wa kuchakata gesi UDSM! Materials za milipuko kama gesi unawezaje kujenga kiwanda cha kuzichakata sehemu kama UDSM?
Unaamini kwamba tayari watu walishafanya EIA na kujua kila kitu? Sio rahisi kwa aina ya watu tuliona nao wafanye blunder kama hiyo. NI wazi kwamba hujui au huna utaalamu na hicho kitu hivyo hisia tu na mawazo yako yenye mashaka hukuongoza kudhani kwamba kuna hatari inaweza kutokea. Lakini amini kwamba, hakutokuwa na tatizo. Kwani Ubungo kuna shida gani pale?
 
ufafanuzi kidogo hapa unahitajika,hii LNG inaweza kuhifadhiwa kwenye mitungi kama ilivyo kwa LPG...?
LNG na LPG zote zinaweza kuhifadhiwa kwenye mitungi na ujazo wake unakua mkubwa tu katika pressure ndogo. Hata CNG inaweza kuhifadhiwa kwenye mitungi pia kwaajili ya Kutumia kwenye magari.
 
Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma.

Lengo la kujenga kituo cha CNG (Compressed Natural Gas) ni kurahisha upatikanaji wa gesi katika maeneo ambayo hayana huduma ya gesi kwa njia ya mabomba. Kituo kikubwa UDSM kitakuwa kimekamilika hadi kufikia 2023.

Kituo hicho mama cha UDSM kitahudumia vituo vidogo vitatu ambapo vituo viwili viko katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kituo kimoja kitakuwa katika soko la samaki feri Kigamboni Dar es Salaam.

Vituo vya muhimbili vitaanza kuzalisha mvuke kwa ajili ya kupikia pia baadae wataanza kuuza kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Gesi hiyo itaweza pia kusafirishwa kuelekea mikoani kwa ajili ya kuwasogezea wateja gesi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo kupikia.
Wanasogeza huduma na je vipi bei zitakuwa affordable?
 
CNG Mother station ndio itakuwa hapo magufuli, daughter stations mikocheni, muhimbili, feri na kairuki pharmaceuticals kibaha
 
June 8 sio wiki iliyopita.

Ila kongole kwao, tunatumaini hayataishia kwenye makaratasi.

Ila najiuliza mbona walisema kwa kuwa gesi ipo kule kinyerezi wataanza kufanya pilot sites kinyerezi. Hii iliishia wapi? Au washasahau?
Huyu kikongwe huwa anaandika kwa maslahi yake binafsi yeye amepewa pesa yake hapo amecopy and paste hata kupitia kdg hawezi
 
Mkuu Meneja Wa Makampuni salam kwako. Kupitia baadhi ya mada zako inaonyesha wewe ni mdau wa mambo tunayoongelea hapa ; kama hutojali unaweza kutoa elimu kidogo kuhusu matumizi ya Liquefied natural gas (LNG) Vs Compressed natural gas (CNG)? Pia utofauti wa CNG na LNG katika uhifadhi wake.

Ahsante
 
Back
Top Bottom