Hongereni Walimu wa nchi hii

Hongereni Walimu wa nchi hii

Ukienda mbele ukarudi nyuma unakubali kabisa walimu akiri zao ni finyu sana wengi wamekariri hata hayo masomo wanayofundisha jiulize miaka6 syllabus ajiwahi badirika na Kila siku unafundisha SoMo Hilo Hilo kitabu ikoiko Nini utaambulia? Kwa akiri ya kawaida tu huwezi fanya huu upumbavu Kwa maisha waliyo nayo.

Jnne mwalimu kapigwa na mzazi hivivi Kwa ujinga wake kamwambia mtoto wewe ni mjinga sana kama babako mtoto akaenda kuripoti alichopata ni stahiki yake. Badirikeni.
Jinsi ulivyoandika na maoni uliyoyatoa, upo katika Karne ya 21, lakini una mawazo ya Kijima. Hivi kama kila mtu atakuwa anachukua SHERIA MKONONI maisha yatakuwaje?
Hii inaonesha kuwa hujui umuhimu wa SHERIA. Kwasababu, umeonesha kuwa hakuna umuhimu wa SHERIA, kwa kumuunga mkono mzazi aliyechukua sheria mkononi( Hivyo, umeeleza kuwa mwenye nguvu ndio apewe.)
Hivyo, kupoka uchaguzi ni sahihi, Kwasababu waliopoka Wana nguvu ( hivyo hakuna sababu ya kuwalaumu wanaopoka uchaguzi).
 
Ndio maisha yalivyo Mkuu.

WALIO JUU WANAKULA ASALI WALIO CHINI WANAKULA SHUBIRI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ni kweli sina akili ila wewe ni mwehu.Wanakubali vipi kusimamia uchaguzi ambao wanajua kuwa matokeo yatakuwa batili?
lkiwa wao wasomi wanasimami ubatili mabadiliko ya katiba yataongozwa na wakulima numbu ambao hawajui hata maana ya Katiba?
Wanasimamia,posho.zao wanadhulimiwa na wakurugenzi halafu chaguzi zingine zikija wanaendelea kusimamia,unadhani wapo sawa kichwani?
Ndugu, maisha huwa yanaendeshwa kwa malengo. Mwalimu hana malengo ya kushinda uchaguzi, malengo yake ni kupata fedha.
KWAHIYO, kazi yake ni kuzingatia masharti ya kufikiwa kwa malengo yake.
KIFUPI: Hakuna mtu Yuko huru, bali hufungwa na masharti fulani( Wale walioasi CHADEMA, na kujiunga CCM wakiwa wabunge ndio wanaopaswa kulaumiwa, Kwasababu hawakuwa na shida yoyote).
Mwalimu, hawezi kunufaika kutokana na CHADEMA kuingia madarakani. Hivyo, mapambano ya vyama vya upinzani kuingia madarakani yafanywe na vyama hivyo Kwasababu ndio wanufaika wakuu wa KISIASA ( Biashara yako, haiwezi kufanikishwa na mtu mwingine, pambana mwenyewe).
 
Boy oh boy, nimefurahishwa na kushangazwa (amazed) if not confused na Chama Cha Waalimu nchini CWT. Sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki kwa kuwa mimi si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and what not.

Nimekuwa nikikichukulia chama hiki poa hadi juzi nliposkia bajeti yao, kwa ajili ya mkutano wa wanachama huko rock city, imagine 7billions, whaaaaaaat!

Yaani billions 7 kwa ajili ya mkutano wa wanachama ili kujadili God knows what. Kwa jinsi walimu wanavyonangwa kwa maisha ya kubangaiza na unstable future nimegundua pia kuwa akili zao hazijakaa sawa.

Uarabuni na nchi nyingine wamejikaza wamejipiga piga wakapata 2billions wakapewa wahanga wa Hanang according to Mama, ila walimu mnaenda teketeza 7 billions kwa sherehe ya siku moja pale Mwanza, huku wanachama wenu wakiongoza kwa madeni dukani kwa mangi hivi mnaakili kweli? Inafika kipindi nashindwa kuamini kama Magufuli naye alikuwa Mwalimu.

Walimu muanze kufikiria kichwa, michango yenu mngekuwa mnafanyia ya maana mngeshatoka kimaisha. Hebu niambie bilioni 7 halafu mnachoambulia ni mtisheti oversize. Mnadharaulika sana.
Malalamiko ya walimu tu ni laana tosha kwa wafujaji hao
 
Hicho chama sijawahi sikia kikiongelewa Kwa wema ,na wahusika wenyewe(walimu) Wala hawana habari juu ya unyonyaji wanaofanyiwa.Na wenye mamlaka sijuwi kwanini mara zote wanalifumbia mambo CWT kama wanayofanya ni mazuri Kwa walimu wetu.Walimu nao sijuwi lini watatoka kizani.Bil 7 ni nyingi sana.
 
Vyama vingi havina msaada wowote, hata kwenye utalii tunaviona. Havina maana yoyote, waziri wa utalii tuondolee kero hiyo ya vyama. Tukishalipia leseni dola 50 kwa mwaka inatosha kazi zenyewe tunazitafuta kwa shida
 
Boy oh boy, nimefurahishwa na kushangazwa (amazed) if not confused na Chama Cha Waalimu nchini CWT. Sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki kwa kuwa mimi si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and what not.

Nimekuwa nikikichukulia chama hiki poa hadi juzi nliposkia bajeti yao, kwa ajili ya mkutano wa wanachama huko rock city, imagine 7billions, whaaaaaaat!

Yaani billions 7 kwa ajili ya mkutano wa wanachama ili kujadili God knows what. Kwa jinsi walimu wanavyonangwa kwa maisha ya kubangaiza na unstable future nimegundua pia kuwa akili zao hazijakaa sawa.

Uarabuni na nchi nyingine wamejikaza wamejipiga piga wakapata 2billions wakapewa wahanga wa Hanang according to Mama, ila walimu mnaenda teketeza 7 billions kwa sherehe ya siku moja pale Mwanza, huku wanachama wenu wakiongoza kwa madeni dukani kwa mangi hivi mnaakili kweli? Inafika kipindi nashindwa kuamini kama Magufuli naye alikuwa Mwalimu.

Walimu muanze kufikiria kichwa, michango yenu mngekuwa mnafanyia ya maana mngeshatoka kimaisha. Hebu niambie bilioni 7 halafu mnachoambulia ni mtisheti oversize. Mnadharaulika sana.
Hilo ni kwa watumishi wote hasa wa serikalini.Viongozi wao wakati wa uchaguzi kuhonga na kulogana ni kitu rahisi tu.
 
Yaani ni ujinga kumlaumu mwalimu Kwa kusimamia uchaguzi, hiyo ni Ajira ya muda ndo maana wanalipwa. Harufu elewa hata kikiingia chama kingine bado polisi na walimu watatumika tu. Kama unataka mabadiliko yaanzie kwako na tume ya uchaguzi
 
Ukienda mbele ukarudi nyuma unakubali kabisa walimu akiri zao ni finyu sana wengi wamekariri hata hayo masomo wanayofundisha jiulize miaka6 syllabus ajiwahi badirika na Kila siku unafundisha SoMo Hilo Hilo kitabu ikoiko Nini utaambulia? Kwa akiri ya kawaida tu huwezi fanya huu upumbavu Kwa maisha waliyo nayo.

Jnne mwalimu kapigwa na mzazi hivivi Kwa ujinga wake kamwambia mtoto wewe ni mjinga sana kama babako mtoto akaenda kuripoti alichopata ni stahiki yake. Badirikeni.

Hii Mpwayungu hajaipata angeianzishia mada na kusema kama ni kupigwa wapigwe tu [emoji3][emoji28]
 
Back
Top Bottom