Reciprocal
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 329
- 523
Jinsi ulivyoandika na maoni uliyoyatoa, upo katika Karne ya 21, lakini una mawazo ya Kijima. Hivi kama kila mtu atakuwa anachukua SHERIA MKONONI maisha yatakuwaje?Ukienda mbele ukarudi nyuma unakubali kabisa walimu akiri zao ni finyu sana wengi wamekariri hata hayo masomo wanayofundisha jiulize miaka6 syllabus ajiwahi badirika na Kila siku unafundisha SoMo Hilo Hilo kitabu ikoiko Nini utaambulia? Kwa akiri ya kawaida tu huwezi fanya huu upumbavu Kwa maisha waliyo nayo.
Jnne mwalimu kapigwa na mzazi hivivi Kwa ujinga wake kamwambia mtoto wewe ni mjinga sana kama babako mtoto akaenda kuripoti alichopata ni stahiki yake. Badirikeni.
Hii inaonesha kuwa hujui umuhimu wa SHERIA. Kwasababu, umeonesha kuwa hakuna umuhimu wa SHERIA, kwa kumuunga mkono mzazi aliyechukua sheria mkononi( Hivyo, umeeleza kuwa mwenye nguvu ndio apewe.)
Hivyo, kupoka uchaguzi ni sahihi, Kwasababu waliopoka Wana nguvu ( hivyo hakuna sababu ya kuwalaumu wanaopoka uchaguzi).