Hongereni Walimu wa nchi hii

Jinsi ulivyoandika na maoni uliyoyatoa, upo katika Karne ya 21, lakini una mawazo ya Kijima. Hivi kama kila mtu atakuwa anachukua SHERIA MKONONI maisha yatakuwaje?
Hii inaonesha kuwa hujui umuhimu wa SHERIA. Kwasababu, umeonesha kuwa hakuna umuhimu wa SHERIA, kwa kumuunga mkono mzazi aliyechukua sheria mkononi( Hivyo, umeeleza kuwa mwenye nguvu ndio apewe.)
Hivyo, kupoka uchaguzi ni sahihi, Kwasababu waliopoka Wana nguvu ( hivyo hakuna sababu ya kuwalaumu wanaopoka uchaguzi).
 
Ndio maisha yalivyo Mkuu.

WALIO JUU WANAKULA ASALI WALIO CHINI WANAKULA SHUBIRI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ndugu, maisha huwa yanaendeshwa kwa malengo. Mwalimu hana malengo ya kushinda uchaguzi, malengo yake ni kupata fedha.
KWAHIYO, kazi yake ni kuzingatia masharti ya kufikiwa kwa malengo yake.
KIFUPI: Hakuna mtu Yuko huru, bali hufungwa na masharti fulani( Wale walioasi CHADEMA, na kujiunga CCM wakiwa wabunge ndio wanaopaswa kulaumiwa, Kwasababu hawakuwa na shida yoyote).
Mwalimu, hawezi kunufaika kutokana na CHADEMA kuingia madarakani. Hivyo, mapambano ya vyama vya upinzani kuingia madarakani yafanywe na vyama hivyo Kwasababu ndio wanufaika wakuu wa KISIASA ( Biashara yako, haiwezi kufanikishwa na mtu mwingine, pambana mwenyewe).
 
Malalamiko ya walimu tu ni laana tosha kwa wafujaji hao
 
Hicho chama sijawahi sikia kikiongelewa Kwa wema ,na wahusika wenyewe(walimu) Wala hawana habari juu ya unyonyaji wanaofanyiwa.Na wenye mamlaka sijuwi kwanini mara zote wanalifumbia mambo CWT kama wanayofanya ni mazuri Kwa walimu wetu.Walimu nao sijuwi lini watatoka kizani.Bil 7 ni nyingi sana.
 
Vyama vingi havina msaada wowote, hata kwenye utalii tunaviona. Havina maana yoyote, waziri wa utalii tuondolee kero hiyo ya vyama. Tukishalipia leseni dola 50 kwa mwaka inatosha kazi zenyewe tunazitafuta kwa shida
 
Hilo ni kwa watumishi wote hasa wa serikalini.Viongozi wao wakati wa uchaguzi kuhonga na kulogana ni kitu rahisi tu.
 
Yaani ni ujinga kumlaumu mwalimu Kwa kusimamia uchaguzi, hiyo ni Ajira ya muda ndo maana wanalipwa. Harufu elewa hata kikiingia chama kingine bado polisi na walimu watatumika tu. Kama unataka mabadiliko yaanzie kwako na tume ya uchaguzi
 



Hii Mpwayungu hajaipata angeianzishia mada na kusema kama ni kupigwa wapigwe tu [emoji3][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…