sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Msanii stive Nyerere kuna mda ukimuwaza sana na historia yake unaona kabisa anapenda sana kuwa kiongozi ndio maana yupo sana mstari wa mbele na kupenda kuheshimika.
Hata kwenye sanaa anayotoka ya kuigiza unamuona kabisa kuwa anatapenda kuwa yeye ndio kiongozi.
Swala la misiba hapa ndio sehemu yake.
Kimbembe kutaka swala la wasanii kuwa msemaji wao mkuu..
Nacho mwambia tu Uongozi ni nyota kama nyota ya uongozi hana afanye mambo mengine kuangalia nyota yake hipo wapi
HahahaNi kweli kabisa ila njaa inamsumbua sana na siku akipata madaraka atakuwa kama mwafulani hivi
Wahuni ni watu wabayaMsanii Stive Nyerere kuna muda ukimuwaza sana na historia yake unaona kabisa anapenda sana kuwa kiongozi ndio maana yupo sana mstari wa mbele na kupenda kuheshimika.
Hata kwenye sanaa anayotoka ya kuigiza unamuona kabisa kuwa anatapenda kuwa yeye ndio kiongozi.
Suala la misiba hapa ndio sehemu yake.
Kimbembe kutaka suala la wasanii kuwa msemaji wao mkuu.
Nachomwambia tu Uongozi ni nyota kama nyota ya uongozi hana afanye mambo mengine kuangalia nyota yake ipo wapi