sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli,
Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ?
ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na kuchukia uteuzi wake.
Binafsi naona walomchagua awajaangalia vigezo bali wameangalia maneno mengi.
Fid Q akiwa kama Katibu Mkuu ingependeza awaombe radhi wasanii kwa niaba ya shirikisho