Hongereni Wasanii kwa kujitambua: Wasanii watoa siku 2 kwa mchekeshaji Steve Nyerere kuondolewa nafasi ya usemaji wa wanamuziki

Hongereni Wasanii kwa kujitambua: Wasanii watoa siku 2 kwa mchekeshaji Steve Nyerere kuondolewa nafasi ya usemaji wa wanamuziki

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264

wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli,

Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ?

ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na kuchukia uteuzi wake.

Binafsi naona walomchagua awajaangalia vigezo bali wameangalia maneno mengi.

Fid Q akiwa kama Katibu Mkuu ingependeza awaombe radhi wasanii kwa niaba ya shirikisho
 
Msanii Stive Nyerere kuna muda ukimuwaza sana na historia yake unaona kabisa anapenda sana kuwa kiongozi ndio maana yupo sana mstari wa mbele na kupenda kuheshimika.

Hata kwenye sanaa anayotoka ya kuigiza unamuona kabisa kuwa anatapenda kuwa yeye ndio kiongozi.

Suala la misiba hapa ndio sehemu yake.

Kimbembe kutaka suala la wasanii kuwa msemaji wao mkuu.

Nachomwambia tu Uongozi ni nyota kama nyota ya uongozi hana afanye mambo mengine kuangalia nyota yake ipo wapi
 
Msanii stive Nyerere kuna mda ukimuwaza sana na historia yake unaona kabisa anapenda sana kuwa kiongozi ndio maana yupo sana mstari wa mbele na kupenda kuheshimika.

Hata kwenye sanaa anayotoka ya kuigiza unamuona kabisa kuwa anatapenda kuwa yeye ndio kiongozi.

Swala la misiba hapa ndio sehemu yake.

Kimbembe kutaka swala la wasanii kuwa msemaji wao mkuu..

Nacho mwambia tu Uongozi ni nyota kama nyota ya uongozi hana afanye mambo mengine kuangalia nyota yake hipo wapi

Ooh basi sawa
 
Huyu inabidi akamatwe tu akafungwe maporini kuokoa maisha yake maana hakuna anayemtaka kwani watu washamchoka. Dogo ni mnafiki, mbea, muongo, ananuka mdomo na makwapa. Watu walianza kumshitukia kwenye michango ya misiba na kwenye kampeni kulilia hela za CCM kisha anawazika wenzake.
 
Kama mtu hatakiwi si aondoke Tu asubiri kupiga hela za misiba.
 
Msanii Stive Nyerere kuna muda ukimuwaza sana na historia yake unaona kabisa anapenda sana kuwa kiongozi ndio maana yupo sana mstari wa mbele na kupenda kuheshimika.

Hata kwenye sanaa anayotoka ya kuigiza unamuona kabisa kuwa anatapenda kuwa yeye ndio kiongozi.

Suala la misiba hapa ndio sehemu yake.

Kimbembe kutaka suala la wasanii kuwa msemaji wao mkuu.

Nachomwambia tu Uongozi ni nyota kama nyota ya uongozi hana afanye mambo mengine kuangalia nyota yake ipo wapi
Wahuni ni watu wabaya
 
Steve nyerere anagundu haiwezekani kukataliwa na jamii nzima
 
Nyani kagoma kutema bungo.![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Steve Nyerere ana mikwala leo kwenye press conference yake, kaingia na Rolls Royce msimamo uleule haachii uongozi.
 
Back
Top Bottom