Hongereni Yanga kwa kukataa kutoza fedha msibani

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio utamaduni wetu watanzania.

Kule kwenye mtanange kati ya Simba na Rangi ya Mtume kazi ipo, wanaume wanajimudu na kwa namna nilivyofurahi chama kuweka kambi Zanzibar, by hooks or crooks Simba will win a resounding victory.
 
TUTAKUJA KUFUKUA KABURI, USIUKIMBIE UZI
 
Yanga wana hali mbaya sanaa! Bora wangetangaza kujitoa ili kuepusha hii aibu ya mwaka!
 
Tulieni Yanga anaweza kushangaza wengi Japo Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba SC
 
Aahaaaa
 
Wanaoitakia MAMELODY meme,siku hiyo tutaje jina la Yesu kristo au damu ya Yesu kristo dhidi ya majini uwanjani ilikuharibu nguvu na mipango yao..utaona watu wakipotezana uwanjani
 
Huwa nashangaa watu hawajifunzi. Hii Yanga sio ya kunenea vibaya hata kidogo. Kuna wenzako kabla yako walishaangukia pua na hawajui wafanye nini maana ni aibu kwa maneno waliyotoa na kilichokuja kutokea. Kwahiyo tahadhari ndugu mwandishi
 
Tarehe 30 itakua ni ushindi wa kishindo kwa yanga πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ

cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…