Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio utamaduni wetu watanzania.
Kule kwenye mtanange kati ya Simba na Rangi ya Mtume kazi ipo, wanaume wanajimudu na kwa namna nilivyofurahi chama kuweka kambi Zanzibar, by hooks or crooks Simba will win a resounding victory.
Kule kwenye mtanange kati ya Simba na Rangi ya Mtume kazi ipo, wanaume wanajimudu na kwa namna nilivyofurahi chama kuweka kambi Zanzibar, by hooks or crooks Simba will win a resounding victory.