mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Hivi huu ujasiri wa kusema simba ni kibonde kwa uto mnautoa wapi?Si mna amini Simba anauzoefu wa kimataifa, Sasa kipigwe baina Yao popote ambapo Simba ana amini atakua huru na kuloga usiku kucha.
Kwa miaka hii minne simba kamfunga ya mara 4 na Yanga kamfunga mara tano. Sasa huo ukibonde unatoka wapi?Au kumbukumbu hamna?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app