Mpira una njia zake sio kindi au kimpumu kufika na kujichotea, kinachoitajika ni ushindi aijalishi umeshinda kipindi gani, sababu ya wao kufika usiku uwezi jua plan yao ilikuwaje kila timu na mbinu zake na haiondoi wala kupunguza ubora wa yanga ata wangekuja juzi bado wangekalia tu tunachosema timu zote ni vibonde kulingana na aina ya ligi zao kwaiyo bwetekeni kuwa mko bora mtakachokutana nacho msije kuanza kupayuka kuwa matola na mgunda wafukuzwe