Niko na mwanangu nafuatilia kipindi cha watoto katika TV hii.
Kuna mtu anajiita babu anasimulia hadithi za biblia ila anapotosha kwa kujua ama kutokujua.
Akisimulia kuhusu Yusufu aliyemchumbia bikira Maria,anasema Yusuf alikuwa "kijana mzuri" yaani "handsome "!
Hayo ni maneno ya kupotosha sana watoto.
Kwanza Yusufu hakuwa kijana.Yusuf wakati anamchumbia Bikira Maria alikuwa na miaka 50 wakati Bikira Maria akiwa na umri wa miaka 12.Kwa umri huu wa miaka 50 ya Yusuf,alijuwa keshapita kwenye ujana na sio sawa kumuita kijana.
Pili biblia imemtambulisha Yusuf aliyekuwa mzuri ni yule Yusuf wa Yakobo aliyeuzwa Misri na hatimae kuwa na nafasi kubwa katika utawala wa Pharaoh enzi hizo.
Yusuf wa bikira Maria hajatajwa sifa ya uzuri wa sura isipokuwa uchaji Mungu aliokuwa nao.
Naomba wahariri wajitahidi kuepuka habari zenye kutia chumvi na kupotosha watoto wetu.Ni bora kama wanahofu kutaja umri,waseme tu Yusuf inatosha