Hope Chanel TV ya Wasabato ongezeni umakini kwenye vipindi vyenu

Hope Chanel TV ya Wasabato ongezeni umakini kwenye vipindi vyenu

Jibu la Chatgpt...

Angalizo: nimemtumia gpt, sababu majibu yake yanabase katika kukusanya taarifa zote ambazo zinapatikana kwenye mitandao popote duniani... so ni nja nyepesi kupata jibu la haraka kuliko kugoogleView attachment 3294999
Hebu weka similar results kwa mla tende isije kuwa anasingiziwa. Balance the stories.
 
Umeelewa lakini jibu la huyo akili mnemba? au nawe ndio walewale wa kukurupuka? Ai imedeclare kabisa kwamba haipo cleared kwamba kuna sehemu umri umetajwa... Kwa kusaidia akasema kulingana na tamaduni za kale za wayahudi na scholars wengi wameeleza umri ulikuwa kati ya 12 - 14 View attachment 3295009
Sema umri haujulikani inayosha mkuu.
Maana kama Sarah alikuwa mzuri na wakatutamanika akiwa na miaka 70. Haishindikani hata Yusufu KUWA mzuri KWA akili mnemba.

Kukitumia assumption kwenye umri wao ambayo haupo basi unafanya kosa lilelile la huyo babu wa Hope Channel au unafanya na yeye kuonekana Yuko sahihi.
 
Hebu weka similar results kwa mla tende isije kuwa anasingiziwa. Balance the stories.
1000205394.jpg
1000205393.jpg
 
Kama Maryam alichumbiwa akiwa 12yrs na Yusuf 50yrs sasa aliyeoa mke 8yrs huku akiwa 40yrs si ni wale wale ty 😂😂😂😂,. Ila watu bwana

comment yangu isiguswe tafadhali
 
Kuna stori anataka kuijenga kuifanya issue ya Aisha iwe HALAAL kupitia mgongo wa Biblia! Shetani ni baba wa uongo vivyo na wafuasi wake.
Yaan hapo mimi picha inakuja anaongeelea Mudi na Aisha sio Bikra Maria na Yusuph, Mudi ndio aliemchumbia Aisha akiwa na miaka 6 alipofika miaka 9 akamla mzigo safi kabisa, sasa hii nimeshangaa Bikra Maria alikua na miaka 12 au amekosea kuandika namba?
 
Sasa huyu ni Mudi sio Yusuph, tafadhari tusichanganye story Mudi na Yusuph ni watu wawili tofauti kwa mujibu wa hii mada anaezungumzwa ni Mudi sio Yusuph
Nimereply huyo aliyetaka ya Mudi, ya Yusuf yanabaki kuwa ya Yusuf
 
Niko na mwanangu nafuatilia kipindi cha watoto katika TV hii.

Kuna mtu anajiita babu anasimulia hadithi za biblia ila anapotosha kwa kujua ama kutokujua.

Akisimulia kuhusu Yusufu aliyemchumbia bikira Maria,anasema Yusuf alikuwa "kijana mzuri" yaani "handsome "!
Hayo ni maneno ya kupotosha sana watoto.

Kwanza Yusufu hakuwa kijana.Yusuf wakati anamchumbia Bikira Maria alikuwa na miaka 50 wakati Bikira Maria akiwa na umri wa miaka 12.Kwa umri huu wa miaka 50 ya Yusuf,alijuwa keshapita kwenye ujana na sio sawa kumuita kijana.

Pili biblia imemtambulisha Yusuf aliyekuwa mzuri ni yule Yusuf wa Yakobo aliyeuzwa Misri na hatimae kuwa na nafasi kubwa katika utawala wa Pharaoh enzi hizo.

Yusuf wa bikira Maria hajatajwa sifa ya uzuri wa sura isipokuwa uchaji Mungu aliokuwa nao.

Naomba wahariri wajitahidi kuepuka habari zenye kutia chumvi na kupotosha watoto wetu.Ni bora kama wanahofu kutaja umri,waseme tu Yusuf inatosha
Pia Biblia haijaweka umri wa Maria na Yusuf, we umepata wapi hiyo miaka Yao?
 
Back
Top Bottom