Mmmh wewe sio kwamba unazungumzia story ya Mudi na Aisha kweli?Yusuf wakati anamchumbia Bikira Maria alikuwa na miaka 50 wakati Bikira Maria akiwa na umri wa miaka 12.
Una uhakika alikuwa anazungumzia Yusuf wa agano jipya?Niko na mwanangu nafuatilia kipindi cha watoto katika TV hii.
Kuna mtu anajiita babu anasimulia hadithi za biblia ila anapotosha kwa kujua ama kutokujua.
Akisimulia kuhusu Yusufu aliyemchumbia bikira Maria,anasema Yusuf alikuwa "kijana mzuri" yaani "handsome "!
Hayo ni maneno ya kupotosha sana watoto.
Kwanza Yusufu hakuwa kijana.Yusuf wakati anamchumbia Bikira Maria alikuwa na miaka 50 wakati Bikira Maria akiwa na umri wa miaka 12.Kwa umri huu wa miaka 50 ya Yusuf,alijuwa keshapita kwenye ujana na sio sawa kumuita kijana.
Pili biblia imemtambulisha Yusuf aliyekuwa mzuri ni yule Yusuf wa Yakobo aliyeuzwa Misri na hatimae kuwa na nafasi kubwa katika utawala wa Pharaoh enzi hizo.
Yusuf wa bikira Maria hajatajwa sifa ya uzuri wa sura isipokuwa uchaji Mungu aliokuwa nao.
Naomba wahariri wajitahidi kuepuka habari zenye kutia chumvi na kupotosha watoto wetu.Ni bora kama wanahofu kutaja umri,waseme tu Yusuf inatosha
Sio lazima uamini kama una nia ya kufahamu jishughulishe ujue ukweliWeka ushahidi wa biblia kama bikira maria alikuwa na miaka 12 wakati anachumbiwa na yusufu
Sio lazima uamini kama una nia ya kufahamu jishughulishe ujue ukweli
Hebu tuonyeshe mahali palipoandikwa kwamba yusuphu alikuwa na miaka 50 na bikira maria 12.Niko na mwanangu nafuatilia kipindi cha watoto katika TV hii.
Kuna mtu anajiita babu anasimulia hadithi za biblia ila anapotosha kwa kujua ama kutokujua.
Akisimulia kuhusu Yusufu aliyemchumbia bikira Maria,anasema Yusuf alikuwa "kijana mzuri" yaani "handsome "!
Hayo ni maneno ya kupotosha sana watoto.
Kwanza Yusufu hakuwa kijana.Yusuf wakati anamchumbia Bikira Maria alikuwa na miaka 50 wakati Bikira Maria akiwa na umri wa miaka 12.Kwa umri huu wa miaka 50 ya Yusuf,alijuwa keshapita kwenye ujana na sio sawa kumuita kijana.
Pili biblia imemtambulisha Yusuf aliyekuwa mzuri ni yule Yusuf wa Yakobo aliyeuzwa Misri na hatimae kuwa na nafasi kubwa katika utawala wa Pharaoh enzi hizo.
Yusuf wa bikira Maria hajatajwa sifa ya uzuri wa sura isipokuwa uchaji Mungu aliokuwa nao.
Naomba wahariri wajitahidi kuepuka habari zenye kutia chumvi na kupotosha watoto wetu.Ni bora kama wanahofu kutaja umri,waseme tu Yusuf inatosha
Kuna stori anataka kuijenga kuifanya issue ya Aisha iwe HALAAL kupitia mgongo wa Biblia! Shetani ni baba wa uongo vivyo na wafuasi wake.Mmmh wewe sio kwamba unazungumzia story ya Mudi na Aisha kweli?
Tupo tayari utuelimishe sisi ambao hatujawahi kusikia hilo jambo. Jibu kwa hoja acha mihemko..la sivyo huna tofauti na huyo aliyesema yusufu alikuwa handsome, unabisha uliwahi kumuona?Sio lazima uamini kama una nia ya kufahamu jishughulishe ujue ukweli
Kamuoze binti yako wa 12 yrs tuone ulivyo na upendo kwake, mkweo, na kwa mungu wako!Miaka 50 kwa 12? Alafu mimi nimepata binti wa miaka 18 nasita kumuoa.
Acha kuwa hakimu.Mkamate sana elimu.Kuna stori anataka kuijenga kuifanya issue ya Aisha iwe HALAAL kupitia mgongo wa Biblia! Shetani ni baba wa uongo vivyo na wafuasi wake.
Jibu la Chatgpt...
Angalizo: nimemtumia gpt, sababu majibu yake yanabase katika kukusanya taarifa zote ambazo zinapatikana kwenye mitandao popote duniani... so ni nja nyepesi kupata jibu la haraka kuliko kugoogleView attachment 3294999
Una swali la kitoto sana,Chat GPT ndio biblia ama Chat GPT alikuwepo kama mshenga kipindi Yusufu anachumbia ?
KWA nini na wewe usingetumia maandiko kuweka miaka ya hao wakina Yusuph na Maria Hadi tutumie Akili mnemba.Jibu la Chatgpt...
Angalizo: nimemtumia gpt, sababu majibu yake yanabase katika kukusanya taarifa zote ambazo zinapatikana kwenye mitandao popote duniani... so ni nja nyepesi kupata jibu la haraka kuliko kugoogleView attachment 3294999
Hebu tuonyeshe mahali palipoandikwa kwamba yusuphu alikuwa na miaka 50 na bikira maria 12.
Tuanzie hapa kwanza kabla hatujaanza kumdiscuss huyo msimulia hadithi
Umeelewa lakini jibu la huyo akili mnemba? au nawe ndio walewale wa kukurupuka? Ai imedeclare kabisa kwamba haipo cleared kwamba kuna sehemu umri umetajwa... Kwa kusaidia akasema kulingana na tamaduni za kale za wayahudi na scholars wengi wameeleza umri ulikuwa kati ya 12 - 14KWA nini na wewe usingetumia maandiko kuweka miaka ya hao wakina Yusuph na Maria Hadi tutumie Akili mnemba.
Ila uko sahihi, babu hapo atakuwa kapngeza chumvi kama ambavyo na wewe umeongeza.