Hospitali binafsi kutopokea kadi za NHIF kuanzia Januari 1 2024

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1000006422.jpg
 
Hapa ndiyo utamkumbuka mtu km Magu, maana jibu lao ni moja "wajaribu" na hakuna kima angejikuna. Huyu mama wanamchezea sana, eti watagoma kumhudumia mwananchi? Wauaji hao walitakiwa wakamatwe mara moja kwa tishio la kuua. Km wanaona hiyo biashara hailipi watafute kazi zingine
 
Chuma, Jiwe Aliweza Sana Alikuwa Habembelezi
Sasa Nchi Imejaa Wahuni Watupi
 
Ila hawa jamaa wa private wanapiga sana hela. Hapa juzi kati nikampeleka mtoto kutibiwa..nikaandikiwa dawa ambayo bima hailipii..nikaelekezwa dirisha la malipo nipewe hiyo dawa..ebwanaeehh..kidonge kimoja wakaniambia ni 3000..ile nataka kulipa wife kanivuta pembeni..kanishauri twende pharmacy..tukavipata Kwa 1000, yaani kwa 1/3 ya bei ya kile kituo cha afya cha private.
Hawa jamaa wanapiga sana hela. Ndio wanachangia kudhoofisha huu mfuko.
 
Majizi Yamejaa Hospital Private
Kuhusu Upigaji Kwenye Dawa Hasa Kuweka Bei Juu Ni Kweli Hasa Upande Wa Cash
 
Ila hawa jamaa wa private wanapiga sana hela. Hapa juzi kati nikampeleka mtoto kutibiwa..nikaandikiwa dawa ambayo bima hailipii..nikaelekezwa dirisha la malipo nipewe hiyo dawa..ebwanaeehh..kidonge kimoja wakaniambia ni 3000..ile nataka kulipa wife kanivuta pembeni..kanishauri twende pharmacy..tukavipata Kwa 1000, yaani kwa 1/3 ya bei ya kile kituo cha afya cha private.
Hawa jamaa wanapiga sana hela. Ndio wanachangia kudhoofisha huu mfuko.
Yaweza kuwa
 
Hapa ndiyo utamkumbuka mtu km Magu, maana jibu lao ni moja "wajaribu" na hakuna kima angejikuna. Huyu mama wanamchezea sana, eti watagoma kumhudumia mwananchi? Wauaji hao walitakiwa wakamatwe mara moja kwa tishio la kuua. Km wanaona hiyo biashara hailipi watafute kazi zingine
Mtanikumbuka 😂

Uongozi siyo kubembelezana na Kufurahishana!
 
Ila hawa jamaa wa private wanapiga sana hela. Hapa juzi kati nikampeleka mtoto kutibiwa..nikaandikiwa dawa ambayo bima hailipii..nikaelekezwa dirisha la malipo nipewe hiyo dawa..ebwanaeehh..kidonge kimoja wakaniambia ni 3000..ile nataka kulipa wife kanivuta pembeni..kanishauri twende pharmacy..tukavipata Kwa 1000, yaani kwa 1/3 ya bei ya kile kituo cha afya cha private.
Hawa jamaa wanapiga sana hela. Ndio wanachangia kudhoofisha huu mfuko.
Kisingizio watakuambia ubora kwamba hizo dawa za elf 3 ni ulaya na hiyo ya buku ni India,
 
Ila hawa jamaa wa private wanapiga sana hela. Hapa juzi kati nikampeleka mtoto kutibiwa..nikaandikiwa dawa ambayo bima hailipii..nikaelekezwa dirisha la malipo nipewe hiyo dawa..ebwanaeehh..kidonge kimoja wakaniambia ni 3000..ile nataka kulipa wife kanivuta pembeni..kanishauri twende pharmacy..tukavipata Kwa 1000, yaani kwa 1/3 ya bei ya kile kituo cha afya cha private.
Hawa jamaa wanapiga sana hela. Ndio wanachangia kudhoofisha huu mfuko.
Siyo kweli.imagine tangia 2016 bei ya dawa ni ile ile.sasa kweli bei mitaani since 2016 ni ilele.2016 lita moja ya petrol ilikuwa inauzwa shilling ngapi compare na bei ya leo.isitoshe pia private hospital hazipati ruzuku from the government tofauti na hospitali za serikali mishahara inatoka hazina .in fact private hospital ni hasara sana .binafsi siwezi wekeza hela zxangu kwenye secta ya afya .
 
Hapa ndiyo utamkumbuka mtu km Magu, maana jibu lao ni moja "wajaribu" na hakuna kima angejikuna. Huyu mama wanamchezea sana, eti watagoma kumhudumia mwananchi? Wauaji hao walitakiwa wakamatwe mara moja kwa tishio la kuua. Km wanaona hiyo biashara hailipi watafute kazi zingine
Miradi aliyoiacha magu inaendelea japo kwa kususua,mishahara imepanda japo ni kituko,watumishi wanapanda madaraja,ajira zinatolewa japo kwa kujuana sana,mama alipofeli ni kusimamia nidhamu kwenye ofisi za umma na kutokemea rushwa,hapo amefeli vibaya sana
 
Back
Top Bottom