Hospitali binafsi kutopokea kadi za NHIF kuanzia Januari 1 2024

Nhif wanafanya kazi kama hawajasoma yaani niwavivu na wajinga sana sasaivi ndiyo wanajibanza Kila hospitali nakusumbua watu!! Wako very manual,very local,very shallow!!
Haishangazi wakipata hasara kubwa maana hawana weledi KABISA wanaibiwa kijinga na wanamifumo yakijinga sanasanaaa
 
Unadhani yale masofa na kiyoyozi unavyovitumia ukiwa private vinalipiwaje???
 
Muwe mnatafakari basi kabla ya kubwabwaja. Unajua ni kwa sababu gani wamelalamika? Unajua matokeo ya kutumia nguvu badala ya akili?
 
Na bado watasimama bungeni kusema kazi nzuri aliyofsnya mama abdul haijawahi kufsnywa na mtu yoyote
Wakuu tuache kukurupuka

At least kumetokea mabadiliko ya vititta
 
Si pawepo na bei elekezi ya dawa.??
Ni vizuri Serikali ikalingalia suala la Afya ya Watu kihuduma zaidi kuliko biashara.
 
Bei Zenyewe Zipo Wapi
Nchi Imejaa Muhari Sana, Wakati Wa Mzilankende Alisema Wazi
Kwenye Awamu Yangu Hakuna Kubembelezana, Subirini
Rais Mwingine Aje Kuwabembeleza


Naona Tumempata Sasa
😂😂😂 Mkono wa Chuma,
 
NHIF haina pesa pesa zinaliwa.Kwani kipindi cha JK hali ilikuwaje kwa wale mliokuwa na bima hasa NHIF? Watanzania mbona mnasahau mapema sana? Kazi inaendelea
 
Hapo tatizo nila nani?.Wewe ni sehemu ya tatizo pamoja serikali.hao private wanafanya biashara wala hatuna tunachotakiwa kuwalalamikia,sisi tuilalamikie serikali kwasababu ndiyo inayochukua michango yetu alafu hatupati huduma stahiki.Hizo hospital nazo zina malalamiko yao kwenye mfuko ndio maana yote hayo yanatokea.Tuiwajibishe serikali kwakushindwa kutoa huduma ili nayo iwajibishe wahusika waliowapa hilo jukumu lakusimamia huo mfuko.
 
Aah wapi wewe...wasipokee uone watahudumia wagonjwa gani!?
Bila hawa wa Bima ,hizo hospital hatiniwi mtu, ni wachache sanaaa wenye ubavu . Watajikuta wanapunguza wafanyakaz mbona.

Watejja wa Bima ndio wanaendesha hivyo viji hospitali vyenu vya kijasiriamali
 
Premium ndo zinakuaje mkuu ? Tusije kudhalilika huko ! Bei na sifa tafadhali
NHIF walianzisha kadi za Premium ambazo zinalipiwa na Taasisi binafsi kama vile CRDB, NMB zinalipiwa pesa ndefu kulinganisha na hizo za taasisi za serikali
 
Kumbe wametishia nikajua wameshatangaza. Serikali imejenga vituo vya afya vya kutosha wasitishe tu wenye shida ya biashara watatoa huduma.
Uchawa ni utumwa na ufungwa sasa serikali yako haitaki kuwalipa madai yao unategemea wanajiendesha vipi. Wanawafanyakazi watawalipwa lini ?
 
Kata mkataba na NHIF sio shuruti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…