kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Umeyanena yaliyokuwa moyoni mwangu "Ni kweli kabisa " mijitu ya "unanijua mimi ni nani imejazana" kwenye huduma za umma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haingii hasara ila inaingiza hasara kwa kuongeza vifa vya watu masikini na vipi wale wanaoenda kutibiwa huko Apolo India na kwingineko kwa gharama za juu na Serikali inalipia na wanaishia kufia huko na kurudi wakiwa ndani ya friji hapo unasemaje?Waliofanikiwa kutibiwa bure kwa njia hio basi hua ni operation tu dawa utajinunulia ukipata pesa au upimwe vipimo bure siku ukipata pesa utakuja kutibiwa. Unge kuwa una tembea mawodini ndo unge kutana nao hao watu wamelazw mwishoni ata miezi imepita kisa hawana pesa zs kuwatibu
Ni mifumo ilio wekwa ili kuhakikisha serikal haingii hasara .
Km yule dogo Derrick aliekua anagombea Malaya ClubUmeyanena yaliyokuwa moyoni mwangu "Ni kweli kabisa " mijitu ya "unanijua mimi ni nani imejazana" kwenye huduma za umma.
Sio kweli Muhimbili mara nyingi tu watu wanatibiwa na mwishowe wanahitajika kulipa bills iwe mgonjwa amepona ama amefariki.Huwa ni ngumu sana kumtibu mtu bure kwemye hospitali ya serikali,
kuna watu wa ustawi wa jamii ambao kazi yao ni kuhakikisha ata kama mgonjwa hajiwez kiuchumi nfugu zske watafutwe angalau wachangie nusu ya malipo au atibiwe kwa msamaha ambapo ni process ndefu
Mfanyakazi wa afya ambae ataona ubinadamu na huruma kumtibu mtu bure uchukuliwa kama kahujumu uchumi au kuikosesha serikal mapato ambapo fedha hizo itabidi hazifidie yeye. Kwani kuna baadhi ya madawa na vifaa tiba vikitumika bila kulipiwa itabidi uwajibu MSD na wakaguzi wa afya ulivipeleka wapi
Mfano: mtu aliegongwa na gari na kuletwa na wasamalia wema hospitalini upatiwa tu huduma ya kwanza huku wakisubiri ndugu zake kujitokeza ili matibabu mengine yaendelee wakiwa na uhakika wa kulipwa malipo. Wanasema kama ukimpatia/kumuongeza Pakiti ya damu inabidi uwe na uhakika italipiwa au ndugu wataifidia kwa kuchangia kwani ni kitu adimu ambacho wakaguzi wa afya wakikuta kuna upungufu wanalalamikiwa wahudumu wa afya kuwa wamefanya uzembe na upotevu wa rasilimali kazini
HIVYo . Uenda muhudumu wa afya akawa na huruma ya kumsafia mtu ila sheria ndo zina mbana kufanya hivyo sio kama uko private kulipana ni taratibu.
# ndo maana huwezi kupanda ATCL au SGR eti nauli utalipa/ lipiwa ukifika. Mifumo na usimamizi ndo inabana kumsaidia mtu
Hahaha Muheshimiwa Jaji kwa hio wakisogezewa kwenye meza yako ya hukumu unawapiga malunguJapo nipo serikalini pia lakini Taasisi za Serikalini nyingi utasikia wana jitamba wana Security ya kazi ivyo wana fanya mambo bila kujali .na hawa wakija mahakamani baada ya kufukuzwa kazi nikapewa case yao nahakikisha nawakanda kisawa sawa
Umefafanua vizuri.Huwa ni ngumu sana kumtibu mtu bure kwemye hospitali ya serikali,
kuna watu wa ustawi wa jamii ambao kazi yao ni kuhakikisha ata kama mgonjwa hajiwez kiuchumi nfugu zske watafutwe angalau wachangie nusu ya malipo au atibiwe kwa msamaha ambapo ni process ndefu
Mfanyakazi wa afya ambae ataona ubinadamu na huruma kumtibu mtu bure uchukuliwa kama kahujumu uchumi au kuikosesha serikal mapato ambapo fedha hizo itabidi hazifidie yeye. Kwani kuna baadhi ya madawa na vifaa tiba vikitumika bila kulipiwa itabidi uwajibu MSD na wakaguzi wa afya ulivipeleka wapi
Mfano: mtu aliegongwa na gari na kuletwa na wasamalia wema hospitalini upatiwa tu huduma ya kwanza huku wakisubiri ndugu zake kujitokeza ili matibabu mengine yaendelee wakiwa na uhakika wa kulipwa malipo. Wanasema kama ukimpatia/kumuongeza Pakiti ya damu inabidi uwe na uhakika italipiwa au ndugu wataifidia kwa kuchangia kwani ni kitu adimu ambacho wakaguzi wa afya wakikuta kuna upungufu wanalalamikiwa wahudumu wa afya kuwa wamefanya uzembe na upotevu wa rasilimali kazini
HIVYo . Uenda muhudumu wa afya akawa na huruma ya kumsafia mtu ila sheria ndo zina mbana kufanya hivyo sio kama uko private kulipana ni taratibu.
# ndo maana huwezi kupanda ATCL au SGR eti nauli utalipa/ lipiwa ukifika. Mifumo na usimamizi ndo inabana kumsaidia mtu
Ni kweliSiyo hosipitali tu, taasisi nyingi za umma zinatoa huduma mbovu sana hasa kwenye hii awamu ya sita.
Tatizo ni mfumo wala si watu. Hao hao watumishi/wafanyakazi uliowakuta huko private hospital ndiyo hao hao utawakuta kesho kwenye hospitali za umma/serikali wamebadilika, kwa nini? Kwa sababu ya mfumo wa utendaji ambao wanakutana nao serikalini. Kwa hiyo wakiwa private hospital utawabariki na kuwasifu kwa sababu mfumo wa utendaji private sector ni tofauti na wa serikali.Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimeshuhudia mimi mwenyewe. Nilikuwa na mgonjwa aliyehitaji huduma ya dharura katika hospitali moja ya Wilaya ya Ilala. Tena tumemkimbiza usiku wa saa sita. Tulipofika tu akaanza kupimwa na kutokana na hali aliyokuwa nayo alihitaji kufanyiwa upasuaji usiku uleule.
Kwa kuwa mgonjwa hana Bima tulitakiwa kulipa cash. Cash hatukuwa na kiasi cha kutosha tukaambiwa BILA CASH KULIPWA HAMUWEZI KUPATA HUDUMA. Kuna msamaria mmoja kati ya wale waliopeleka wagonjwa akatueleza twende hospitali fulani.
Tulipofika hospitali ile tukaambiwa mgonjwa wenu tutamfanyia upasuaji na malipo mtayalipa baada ya huduma. Ikawa hivyo. Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuwaumba hawa watu wenye Roho Nzuri na tunawatakia maisha marefu.
Lakini hawa wenye kupenda pesa badala ya kuhurumia wanyonge walipa kodi. Mungu awake thawabu zao. Wasikae na hela maisha yao yote. Amina.
Umeimaliza kila kituHuwa ni ngumu sana kumtibu mtu bure kwemye hospitali ya serikali,
kuna watu wa ustawi wa jamii ambao kazi yao ni kuhakikisha ata kama mgonjwa hajiwez kiuchumi nfugu zske watafutwe angalau wachangie nusu ya malipo au atibiwe kwa msamaha ambapo ni process ndefu
Mfanyakazi wa afya ambae ataona ubinadamu na huruma kumtibu mtu bure uchukuliwa kama kahujumu uchumi au kuikosesha serikal mapato ambapo fedha hizo itabidi hazifidie yeye. Kwani kuna baadhi ya madawa na vifaa tiba vikitumika bila kulipiwa itabidi uwajibu MSD na wakaguzi wa afya ulivipeleka wapi
Mfano: mtu aliegongwa na gari na kuletwa na wasamalia wema hospitalini upatiwa tu huduma ya kwanza huku wakisubiri ndugu zake kujitokeza ili matibabu mengine yaendelee wakiwa na uhakika wa kulipwa malipo. Wanasema kama ukimpatia/kumuongeza Pakiti ya damu inabidi uwe na uhakika italipiwa au ndugu wataifidia kwa kuchangia kwani ni kitu adimu ambacho wakaguzi wa afya wakikuta kuna upungufu wanalalamikiwa wahudumu wa afya kuwa wamefanya uzembe na upotevu wa rasilimali kazini
HIVYo . Uenda muhudumu wa afya akawa na huruma ya kumsafia mtu ila sheria ndo zina mbana kufanya hivyo sio kama uko private kulipana ni taratibu.
# ndo maana huwezi kupanda ATCL au SGR eti nauli utalipa/ lipiwa ukifika. Mifumo na usimamizi ndo inabana kumsaidia mtu
Niiweke hivi. Baadhi ya hospitali wapo na wana ofisi zao katika hospitali. Tatizo ni mgonjwa kutokujua utaratibu pale ambapo hana pesa ya malipo au Bima.Unazingua hii sio Siri ni upuuzi haya ndio maelezo yao kila wakiitwa kwenye vipindi vya redioni ila in reality hawapo, wote wanataka ulipe pesa ndio upatiwe matibabu labda upate kibari kutoka kwa Waziri, Mbunge au Mkuu wa Mkoa ndio utawapata kinyume na hapo hawapatikani hospitali
Ni kweli huduma atapata.Tulipofika hospitali ile tukaambiwa mgonjwa wenu tutamfanyia upasuaji na malipo mtayalipa baada ya huduma. Ikawa hivyo. Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuwaumba hawa watu wenye Roho Nzuri na tunawatakia maisha marefu.
Kazi za watoa huduma za afya wanatakiwa kuokoa maisha ya wagonjwa kwanza 1)kutonsababishia madhara DO NO HARM 2)kumsaidia mgonjwa kumuondolea maumivu,kuokoa maisha huduma kwa faida ya mgonjwa BENEFICIENCE
3)Kutunza siri za mgonjwa CONFIDENTIALITY, na privacy
4)kwa kujali utu wa mgonjwa na matakwa maamuzi ya mgonjwa PT AUTONOMY
Yani PATIENTS CENTERED kifupi AFYA USALAMA wa mgonjwa ndio KIPAUMBELE cha kwanza ni kuokoa maisha kwanza.
TENA KWENYE DHARURA EMERGENCY kipaumbele cha kwanza ni kuokoa maisha kumstabilize mgonjwa awe stable kwanza ,kumuondolea hatari ya maisha ,KUOKOA MAISHA KWANZA.
Halafu mambo ya malipo na utaratibu wa malipo UTAFUATA BAADAE.
Kwa uzoefu wangu mdogo hospitali za serikali ndio zinahudumia wagonjwa bila kutanguliza pesa kuliko hospitali binafsi.
Nimeshuhudia wagonjwa waliokotwa mahututi bila kutambulika utambulisho wao wametibiwa katika hospitali za serikali kwa muda mrefu mpaka wakapona pasipo kutambulika utambulisho wao hata wa ndugu zao.
Na hata kwenye vyombo vya habari huwa tunaona wagonjwa hao waliotibiwa wakitangazwa kutafuta ndugu zao.
Achana na hao wa kuchangiwa kutibiwa nje ya nchi.Haingii hasara ila inaingiza hasara kwa kuongeza vifa vya watu masikini na vipi wale wanaoenda kutibiwa huko Apolo India na kwingineko kwa gharama za juu na Serikali inalipia na wanaishia kufia huko na kurudi wakiwa ndani ya friji hapo unasemaje?
Kwa hiyo bora mtu afe, utawala wa Sa100 ni hovyo sana watumishi wa umma ni wavivu kupita maelezoHuwa ni ngumu sana kumtibu mtu bure kwemye hospitali ya serikali,
kuna watu wa ustawi wa jamii ambao kazi yao ni kuhakikisha ata kama mgonjwa hajiwez kiuchumi nfugu zske watafutwe angalau wachangie nusu ya malipo au atibiwe kwa msamaha ambapo ni process ndefu
Mfanyakazi wa afya ambae ataona ubinadamu na huruma kumtibu mtu bure uchukuliwa kama kahujumu uchumi au kuikosesha serikal mapato ambapo fedha hizo itabidi hazifidie yeye. Kwani kuna baadhi ya madawa na vifaa tiba vikitumika bila kulipiwa itabidi uwajibu MSD na wakaguzi wa afya ulivipeleka wapi
Mfano: mtu aliegongwa na gari na kuletwa na wasamalia wema hospitalini upatiwa tu huduma ya kwanza huku wakisubiri ndugu zake kujitokeza ili matibabu mengine yaendelee wakiwa na uhakika wa kulipwa malipo. Wanasema kama ukimpatia/kumuongeza Pakiti ya damu inabidi uwe na uhakika italipiwa au ndugu wataifidia kwa kuchangia kwani ni kitu adimu ambacho wakaguzi wa afya wakikuta kuna upungufu wanalalamikiwa wahudumu wa afya kuwa wamefanya uzembe na upotevu wa rasilimali kazini
HIVYo . Uenda muhudumu wa afya akawa na huruma ya kumsafia mtu ila sheria ndo zina mbana kufanya hivyo sio kama uko private kulipana ni taratibu.
# ndo maana huwezi kupanda ATCL au SGR eti nauli utalipa/ lipiwa ukifika. Mifumo na usimamizi ndo inabana kumsaidia mtu
NI tatizo la mifumo. Serikali itoe muongozo kwa watu wasio jiweza namna ya kupata matibabu pasipo malipo.Kwa hiyo bora mtu afe, utawala wa Sa100 ni hovyo sana watumishi wa umma ni wavivu kupita maelezo
Unajua kwanini? Kuna mazingira serikali imeyatengeneza yana influence mtu afanye kazi kama analazimishwa, yaani bora liende. In private sector ukifanya huo ujinga unakuwa fired asap, quality of service ni kipao mbele cha kwanzaSiyo hosipitali tu, taasisi nyingi za umma zinatoa huduma mbovu sana hasa kwenye hii awamu ya sita.