Hospitali Binafsi wana Utu kuliko Hospitali za Serikali

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimeshuhudia mimi mwenyewe. Nilikuwa na mgonjwa aliyehitaji huduma ya dharura katika hospitali moja ya Wilaya ya Ilala. Tena tumemkimbiza usiku wa saa sita. Tulipofika tu akaanza kupimwa na kutokana na hali aliyokuwa nayo alihitaji kufanyiwa upasuaji usiku uleule.

Kwa kuwa mgonjwa hana Bima tulitakiwa kulipa cash. Cash hatukuwa na kiasi cha kutosha tukaambiwa BILA CASH KULIPWA HAMUWEZI KUPATA HUDUMA. Kuna msamaria mmoja kati ya wale waliopeleka wagonjwa akatueleza twende hospitali fulani.

Tulipofika hospitali ile tukaambiwa mgonjwa wenu tutamfanyia upasuaji na malipo mtayalipa baada ya huduma. Ikawa hivyo. Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuwaumba hawa watu wenye Roho Nzuri na tunawatakia maisha marefu.

Lakini hawa wenye kupenda pesa badala ya kuhurumia wanyonge walipa kodi. Mungu awake thawabu zao. Wasikae na hela maisha yao yote. Amina.
Wewe kweli bubu msemaovyo,nenda na mgongwanana emergency eg,labor,trauma, etc pale agha khan ukiwa hauna pesa,kisha nenda Mwananyamala Kisha compare........
Unapewa huduma nzuri private ama serikalini kulingana na pesa Yako,......ila lazima usipewe kabisa huduma private kama hauna pesa,.....sasa utachagua nini hapo
 
Ni tatizo la serikali na mifumo walioiweka huko juu ila kwenye ground ni tofauti.
AIR Tanzania, SGR na Ambulance huwezi kupanda bure inakubidi uchangie angalau ya mafuta. Sawa na Elimu bure michango itakuepo tu.

Waweke bajeti ya pesa za kuwasaudia wasiojiweza kwenye matibabu na Usafiri
 
NI tatizo la mifumo. Serikali itoe muongozo kwa watu wasio jiweza namna ya kupata matibabu pasipo malipo.

Mbona wanatambua kuna watu hawajiwezi kiuchumi na wanatoa pesa za TASAF ila ku gharamikia matibabu yao inakua shida.

Elimu bure wame fanikisha ila Tiba bure inakua ngumu
Tukubaliane tu. Waafrika tuna shida kubwa sana. Tunawaza wizi na kujilimbikizia mali za umma 24hrs. Hatutakuja kupiga hatua za maana kwa mwendo huu. Tunahitaji mtawala katili sana atakayenyonga wezi na wavivu akili zitukae sawa
 
Sio kweli Muhimbili mara nyingi tu watu wanatibiwa na mwishowe wanahitajika kulipa bills iwe mgonjwa amepona ama amefariki.

Shemeji yangu walimfanyia upasuaji wa kuzalisha mtoto hospital ya mwananyamala bills ilikuwa laki 3 walimzuia kuondoka mpaka pesa ilipolipwa.

Hospital Kuna kitu kinaitwa emergency hiyo ukiwa muhudumu wa afya unaangalia kwanza kuokoa uhai wa mtu Kisha mambo mengine yanafuata baadae.
Acha uongo wewe kama uko huko acha kufuniko upumbavu wenu. Unadhani mimi mjinga kuandika masaibu haya? Mara ngapi wazazi wanajigharimikia vifaa vya kujifungulia huko huko Muhimbili, Mloganzila, Mwananyamala Temeke na Amana. Usituudhi sisi tunao athirika.
 
Soma post #32 jamaa kaelezea vizur sana ukishindwa kuelewa ww ndio basi tena.
 
Labda nikwambie ww umepata elimu HIVI MANESI NA MANADAKRARI Huwa mnawajali au kazi yenu kuwajali MADIWANI, MAKATIBU CCM, WENYEVITI, NA WENGINE WENGI KIAS HICHO watu wanawaza hata ww usipowajali wakwenu na familia yenu na ww pia hawatakujali watakuona mpuzi....
 
Ishu hapo ni kutokujua mifumo. Kuna social worker, mtumishi wa afya ngazi ya jamii, specialist, mtu wa mochwari, wahudumu wa bima afya, wote hao wapo hospitali na muda mwingine wanavaa makoti. BILA kujua taratibu utaendelea kulalamika hao watu hawapo.

Nikuibie siri hao social worker wanapenda kuvaa nguo za watu wa kawaida. Hua wanaitwa pale ambapo mteja atadai hana pesa za kujitibu ili wathibitishe kua ni kweli hajiwezi. Kigezo cha harakaharaka wanachoangalia ni muonekano wako usije ukawa umevaa vizuri, una make up , wigi la million na smart phone ya bei kali ukasema hujiwezi. Huyo social worker ataondoka tu na kuacha maagizo kwa nurse huyo anazuga mwambie awatafte ndugu wamchangie.

Waliofanikiwa kutibiwa bure kwa njia hio basi hua ni operation tu dawa utajinunulia ukipata pesa au upimwe vipimo bure siku ukipata pesa utakuja kutibiwa. Unge kuwa una tembea mawodini ndo unge kutana nao hao watu wamelazw mwishoni ata miezi imepita kisa hawana pesa zs kuwatibu

Ni mifumo ilio wekwa ili kuhakikisha serikal haingii hasara .
Na ndo Tatizo la kumchagua waziri wa Afya alie somea ualimu kusimamia sekta ya afya. Timbwili za mule hazijui hata akifanya kazi miaka 100 ndo maana hujawahi kuskia ishu za hivyo zikilalamikiwa bungeni kwa sababu hawakai masaa 24 mahospitalini ku waangalia wagonjwa wanapoingia kutibiwa
waombe JF kupaza sauti kwa serikali labda watasikia kero hii
Umeongea ukweli mtupu.
 
Ni kweli huduma atapata.

" Huduma ya oparesheni tutakupatia ila madawa utanunua, vipimo tutakupa bure ila dawa utanunua. Tata kutibu ila anza kupiga simu ndugu watafte angalau chochote" kwa mtu ambaye hajiwez kabisa ( kama walioko TASaF) hukosa huduma zote

# Ingia mikoani ndanindani uone wa Tanzania wanayopitia
Unapatia weweeee.
 
Sio kweli Muhimbili mara nyingi tu watu wanatibiwa na mwishowe wanahitajika kulipa bills iwe mgonjwa amepona ama amefariki.

Shemeji yangu walimfanyia upasuaji wa kuzalisha mtoto hospital ya mwananyamala bills ilikuwa laki 3 walimzuia kuondoka mpaka pesa ilipolipwa.

Hospital Kuna kitu kinaitwa emergency hiyo ukiwa muhudumu wa afya unaangalia kwanza kuokoa uhai wa mtu Kisha mambo mengine yanafuata baadae.
Soma na hii
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimeshuhudia mimi mwenyewe. Nilikuwa na mgonjwa aliyehitaji huduma ya dharura katika hospitali moja ya Wilaya ya Ilala. Tena tumemkimbiza usiku wa saa sita. Tulipofika tu akaanza kupimwa na kutokana na hali aliyokuwa nayo alihitaji kufanyiwa upasuaji usiku uleule.

Kwa kuwa mgonjwa hana Bima tulitakiwa kulipa cash. Cash hatukuwa na kiasi cha kutosha tukaambiwa BILA CASH KULIPWA HAMUWEZI KUPATA HUDUMA. Kuna msamaria mmoja kati ya wale waliopeleka wagonjwa akatueleza twende hospitali fulani.

Tulipofika hospitali ile tukaambiwa mgonjwa wenu tutamfanyia upasuaji na malipo mtayalipa baada ya huduma. Ikawa hivyo. Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuwaumba hawa watu wenye Roho Nzuri na tunawatakia maisha marefu.

Lakini hawa wenye kupenda pesa badala ya kuhurumia wanyonge walipa kodi. Mungu awake thawabu zao. Wasikae na hela maisha yao yote. Amina.
Weka jina la hospitali binafsi! Si wamefanya vizuri! Hao wapumbavu wa serikali pia unaweza kuwataja pia! Unaogopa Nini? Ndio maana serikali inakuwa ya kizembe kwasababu ya uoga wa watz! Sijui ni limbwata la mbio mbio?
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimeshuhudia mimi mwenyewe. Nilikuwa na mgonjwa aliyehitaji huduma ya dharura katika hospitali moja ya Wilaya ya Ilala. Tena tumemkimbiza usiku wa saa sita. Tulipofika tu akaanza kupimwa na kutokana na hali aliyokuwa nayo alihitaji kufanyiwa upasuaji usiku uleule.

Kwa kuwa mgonjwa hana Bima tulitakiwa kulipa cash. Cash hatukuwa na kiasi cha kutosha tukaambiwa BILA CASH KULIPWA HAMUWEZI KUPATA HUDUMA. Kuna msamaria mmoja kati ya wale waliopeleka wagonjwa akatueleza twende hospitali fulani.

Tulipofika hospitali ile tukaambiwa mgonjwa wenu tutamfanyia upasuaji na malipo mtayalipa baada ya huduma. Ikawa hivyo. Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuwaumba hawa watu wenye Roho Nzuri na tunawatakia maisha marefu.

Lakini hawa wenye kupenda pesa badala ya kuhurumia wanyonge walipa kodi. Mungu awake thawabu zao. Wasikae na hela maisha yao yote. Amina.
Wanaona mtu bora afe ila sio kumsaidia matibabu....
 
Kweli kabisa hata mimi yamenikuta katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma! Bila hela hupati huduma!!!
 
Back
Top Bottom