Hospitali Binafsi wana Utu kuliko Hospitali za Serikali

Wewe kweli bubu msemaovyo,nenda na mgongwanana emergency eg,labor,trauma, etc pale agha khan ukiwa hauna pesa,kisha nenda Mwananyamala Kisha compare........
Unapewa huduma nzuri private ama serikalini kulingana na pesa Yako,......ila lazima usipewe kabisa huduma private kama hauna pesa,.....sasa utachagua nini hapo
 
Ni tatizo la serikali na mifumo walioiweka huko juu ila kwenye ground ni tofauti.
AIR Tanzania, SGR na Ambulance huwezi kupanda bure inakubidi uchangie angalau ya mafuta. Sawa na Elimu bure michango itakuepo tu.

Waweke bajeti ya pesa za kuwasaudia wasiojiweza kwenye matibabu na Usafiri
 
Tukubaliane tu. Waafrika tuna shida kubwa sana. Tunawaza wizi na kujilimbikizia mali za umma 24hrs. Hatutakuja kupiga hatua za maana kwa mwendo huu. Tunahitaji mtawala katili sana atakayenyonga wezi na wavivu akili zitukae sawa
 
Acha uongo wewe kama uko huko acha kufuniko upumbavu wenu. Unadhani mimi mjinga kuandika masaibu haya? Mara ngapi wazazi wanajigharimikia vifaa vya kujifungulia huko huko Muhimbili, Mloganzila, Mwananyamala Temeke na Amana. Usituudhi sisi tunao athirika.
 
Soma post #32 jamaa kaelezea vizur sana ukishindwa kuelewa ww ndio basi tena.
 
Labda nikwambie ww umepata elimu HIVI MANESI NA MANADAKRARI Huwa mnawajali au kazi yenu kuwajali MADIWANI, MAKATIBU CCM, WENYEVITI, NA WENGINE WENGI KIAS HICHO watu wanawaza hata ww usipowajali wakwenu na familia yenu na ww pia hawatakujali watakuona mpuzi....
 
Umeongea ukweli mtupu.
 
Unapatia weweeee.
 
Soma na hii
 
Weka jina la hospitali binafsi! Si wamefanya vizuri! Hao wapumbavu wa serikali pia unaweza kuwataja pia! Unaogopa Nini? Ndio maana serikali inakuwa ya kizembe kwasababu ya uoga wa watz! Sijui ni limbwata la mbio mbio?
 
Wanaona mtu bora afe ila sio kumsaidia matibabu....
 
Kweli kabisa hata mimi yamenikuta katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma! Bila hela hupati huduma!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…