kwanini tu
Member
- Nov 8, 2011
- 50
- 63
Uvimbe ni nini?Sio uvimbe au bawasiri ni kinyama
Jr[emoji769]
Kanunue mafuta ya nyonyo Castor oil...halafu uwe unapaka hako kauvimbe asubuhi na jioni ukiwa safi...inaondoa uvimbe kabisa kabisa unayeyuka unapotea...mimi ni shuhuda sijahadithiwa...na nilijifunza hapa hapa jamii forum..hii ni dawa kuliko zote popote..trust me..nayaheshimu haya mafuta na ninayatunza sana..oparesheni ni mateso hasa kuuguza jeraha ukizingatia eneo husika...
Ni ugonjwa wa kuvimba sehemu mojawapo ya mwiliUvimbe ni nini?
Ndo ninaoumwa mkuu.hayo mengine unayotaka kuleta siyajui.sijazaliwa hivo hata .niliupata tu ukubwani huu ugonjwaNi ugonjwa wa kuvimba sehemu mojawapo ya mwili
Jr[emoji769]
Amina Mungu akuponye..ila ukinunua nunua yale masafi yanayouzwa kwenye maduka ya vipodozi..kichupa kidogo 2000 -3000 Tsh.Asante kwa ushauri nitajaribu mkuu
OK sorry for misinterpretationNdo ninaoumwa mkuu.hayo mengine unayotaka kuleta siyajui.sijazaliwa hivo hata .niliupata tu ukubwani huu ugonjwa
Dawa ya hiyo ni upasuaji tu, hospitali yoyote ya mkoa wanafanya huo upasuaji,sio ishu kubwaNaombeni msaada wa hospital nzuri ya kuondoa bawasiri au uvimbe huko njia ya haja kubwa .sipati maumivu yoyote nimeamua tu kukitoa hicho kinyama sikitaki
Naombeni msaada wa hospital na gharama zake
Kanunue mafuta ya nyonyo Castor oil...halafu uwe unapaka hako kauvimbe asubuhi na jioni ukiwa safi...inaondoa uvimbe kabisa kabisa unayeyuka unapotea...mimi ni shuhuda sijahadithiwa...na nilijifunza hapa hapa jamii forum..hii ni dawa kuliko zote popote..trust me..nayaheshimu haya mafuta na ninayatunza sana..oparesheni ni mateso hasa kuuguza jeraha ukizingatia eneo husika...
Maduka mengi tuu hasa ya vipodozi huwezi kukosa..sh..2000 hadi 3000 tuu kwa kachupa kadogo...lakini huwezi kukamaliza hako kachupa..utatumia chini ya asilimia 5.Yanapatikaba wapi haya