Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kujua gharama maana uzi mzima sioni aliyeeleza gharama.Bila OP....zingine ni porojo tu
Again, hemorrhoids inaondolewa na operation na sio mnyonyo, alovera, or manini sijui. PERIOD
Hekima kwenye maisha ni kitu muhimu sana sana...no research.......??? Naamini hujawahi umwa huo ugonjwa..sembuse hiyo oparesheni..Bila OP....zingine ni porojo tu
Again, hemorrhoids inaondolewa na operation na sio mnyonyo, alovera, or manini sijui. PERIOD
Ebu fikiria hicho kichupa kimetumika awamu mbili lakini yamebaki hayo..unatumia kidogo sana.Hekima kwenye maisha ni kitu muhimu sana sana...no research.......??? Naamini hujawahi umwa huo ugonjwa..sembuse hiyo oparesheni..
Kwanza fahamu hilo tatizo wanalo watu wengi sana kwa maana ya tatizo la kufunga choo kwa muda mrefu..
Siwezi kuzungumzia mengi hapa maana ni mambo binafsi.
Ningetamani aje mtu aliepata huo uvimbe tena awe aliwahi kufanyiwa oparesheni awali mara moja au mbili halafu baadaye akaja kutumia hayo mafuta ya nyonyo angetupa mrejesho bora.
Mimi nilitoa mchango wangu wa mawazo kutokana na mtoa mada alivyouliza..naweka picha hapa za hayo mafuta...yale meusi ambayo nilitumia hayakunisaidia...na haya meupe ambayo yamenitendea makubwa.
Ninao jirani na mwanafamilia mwenzangu ambaye walifanyiwa oparesheni..na baadhi waliotumia haya mafuta..
Nilisikitika one of my friend alifariki mwaka juzi baada ya kufanyiwa oparesheni kwenye hosp kubwa ya kitaifa hapa nchini..hakukupona huko mahali..kila mtu alijiuliza Oparesheni ndogo hivyo inawezaje hadi kupelekea kifo...
Nasisitiza hii dawa nilijifunza humu humu jamii forum..kuna mdau alikuwa anaumwa nadhani...sasa asilimia 99 walimwambia ni oparesheni tuu no Way..ila mtu mmoja akaja na ushuhuda wa haya mafuta.
At that moment sikutilia maanani hiyo discussion..maana nilikuwa sijawahi hata kuujua wala kuusikia huo ugonjwa.
Imepita kama three years aisee nikapatwa na hilo tatizo..na sikujua ni nini?? Halafu kumbuka huwezi mwambia wala kuuliza mtu.
Nikaingia kwenye mitandao..search wee mpaka nikaja jua kumbe ndio bawasiri..nilidata..ingia youtube wapi?? Solution ni oparesheni...nikawa sina namna hali imeshakuwa mbaya sana..
Ndipo ghafla kumbukumbu ikanijia kuwa niliwahi ona mjadala wa kitu kama hiki Jamii forum..ila nikakumbuka kuwa muda umepita sana nitaikumbukaje ile post.
Aisee Mungu ambariki sana aliyeanzisha na kuindeleza jamii forum..nilisearch kwa kubahatisha kupitia google nikaipata..
Sasa ajabu nilipata sio ile ya kwanza hapana bali ilikuwa ni Post ya ushuhuda wa mtu alietumia baada ya kusoma maelekezo ya ile post ya kwanza..
Na mimi nikapata ujasiri nikanunua nikaanza kutumia..siku ya kwanza holaaa..ya pili holaaa..mmhh kufika siku ya Tatu nikaona mabadiliko makubwa sana..niliendelea siku ya nne ikapotea kabisa...
AKILI ZA KUAMBIWA UWE UNACHANGANYA NA ZAKO UTAFIKA MBALI.View attachment 1525011View attachment 1525014
Mnajua kupekua post za nyuma kuhusu huu ugonjwa naomba muwawekee watu wasome ile mijadala wajifunze..Ebu fikiria hicho kichupa kimetumika awamu mbili lakini yamebaki hayo..unatumia kidogo sana.View attachment 1525017
New idea..nashukuru kwa kuongeza maarifa.Pole mkuu kwa changamoto hiyo.
Swali lako lilikusudiakufahamu hospitali ipi inaweza kuwa ya msaada kupata huduma kuondolewa shida hiyo. Wakati tukiendelea kusubiria mwongozo huo. Kwa sasa jaribu kutumia utomvi wa majani ya magimbi uwe ukiupaka eneo hilo. Shida itaisha baada ya muda!
Asante!Kanunue mafuta ya nyonyo Castor oil...halafu uwe unapaka hako kauvimbe asubuhi na jioni ukiwa safi...inaondoa uvimbe kabisa kabisa unayeyuka unapotea...mimi ni shuhuda sijahadithiwa...na nilijifunza hapa hapa jamii forum..hii ni dawa kuliko zote popote..trust me..nayaheshimu haya mafuta na ninayatunza sana..oparesheni ni mateso hasa kuuguza jeraha ukizingatia eneo husika...
Kwanini ufanyiwe operation wakati zipo njia simple tu za kuondoa hiyo hemorrhoids?Naombeni msaada wa hospitali nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe huko njia ya haja kubwa. Sipati maumivu yoyote nimeamua tu kukitoa hicho kinyama sikitaki.
Naombeni msaada wa hospitali na gharama zake
Unamaanisha niniSio uvimbe au bawasiri ni kinyama
Jr[emoji769]
Hemorrhoids inaondoka vizuri tu kwa njia rahisi, najua huwezi amini. Binafsi nime experience hili tatizo.Bila OP....zingine ni porojo tu
Again, hemorrhoids inaondolewa na operation na sio mnyonyo, alovera, or manini sijui. PERIOD
Ni vema ukatumia jukwaa hiki kuwaelimisha watu juu ya hizo stage na dalili zake ili kila mtu atambue kuwa nikiwa stage hii kwa dalili hizi no way ni oparesheni tu.Kuna stage 1 mpk 4 stage ya nne mtu akikwambia utumie dawa au mafuta sijui ni muongo.
Ninafahamu mtu aliyetumia black castor na akapona mkuu kama wewe na alitumia once haikumrudia tena. Ila nafahamu pia mtu aliyewahi kufanyiwa operation na bado ikamrudia aka opt kutumia castor oil akapona mazima.Hekima kwenye maisha ni kitu muhimu sana sana no research? Naamini hujawahi umwa huo ugonjwa..sembuse hiyo oparesheni..
Kwanza fahamu hilo tatizo wanalo watu wengi sana kwa maana ya tatizo la kufunga choo kwa muda mrefu...
Mkuu haya mafuta kanda ya ziwa yanapatikana?Hekima kwenye maisha ni kitu muhimu sana sana...no research? Naamini hujawahi umwa huo ugonjwa..sembuse hiyo oparesheni..
Kwanza fahamu hilo tatizo wanalo watu wengi sana kwa maana ya tatizo la kufunga choo kwa muda mrefu...
Tuwekee hapa mkuuYa nje au ya ndan mimi ninayo dawa ni kiboko haijawai kuniangusha ni nzuri sana.