Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

Mimi napenda kutumia madawa ya kissuna ninapoumwa.
Nakushauri nenda kwenye maduka ya dawa za asili ukaulizie utapata dawa nzuri za kissuna au kwa jina lingine za kiswahili.
Kwa bawasiri ya ndan ntawezaje kujitibu?
 
Mimi napenda kutumia madawa ya kissuna ninapoumwa.
Nakushauri nenda kwenye maduka ya dawa za asili ukaulizie utapata dawa nzuri za kissuna au kwa jina lingine za kiswahili.
Tatzo n kwamba nmekaa na hilo tatzo kwa miaka mingi sana kama kumi hiv sikuwa na maumiv yoyote, na kinyama nkaona n chakawaida tuu baadae baada ya kuingia humu ndio nkajua kuwa nna hilo tatzo maana nnacho kinyama, yaan nna ya nje na ya ndan TATIZO N KWAMBA USUGU WA TATZO LANGU had naona tabu tuu kwamba haito tibika kirahisi
 
Inatibika.
Kwani unakaa wapi?.
Kuna hospital wanakata hyo ya nje na wanaweza wakakupa dawa hyo ya ndani
Tatzo n kwamba nmekaa na hilo tatzo kwa miaka mingi sana kama kumi hiv sikuwa na maumiv yoyote, na kinyama nkaona n chakawaida tuu baadae baada ya kuingia humu ndio nkajua kuwa nna hilo tatzo maana nnacho kinyama, yaan nna ya nje na ya ndan TATIZO N KWAMBA USUGU WA TATZO LANGU had naona tabu tuu kwamba haito tibika kirahisi
 
Naombeni msaada wa hospitali nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe huko njia ya haja kubwa. Sipati maumivu yoyote nimeamua tu kukitoa hicho kinyama sikitaki.

Naombeni msaada wa hospitali na gharama zake
MALOLO Hospital.iko Tabora mjini,nina mwaka na nusu tangu nifanyiwe upasuaji.sijaona tatizo kujirudia
 
mkuuu uchira, naomba pia unisaidie dawa za kuondoa nyama za pua, kuna mtoto wa dada yangu yanamsumbua tangu ana miaka miwili mpaka sasa ana 21 yana msumbua bado, ameshafanyiwa operation mara tatu anapona yanaota tena
Akikujibu unitag
 
Dawa ya hiyo ni upasuaji tu, hospitali yoyote ya mkoa wanafanya huo upasuaji,sio ishu kubwa
Upakiaji ni risk sana, na ni suluhisho la mwisho, kwani kuuguza kidonda ndo issue, na kama una tatizo la kusukari, unaikaribisha kansa.
 
Wakuu vipi endapo unapata maumivu makali sana pindi ukijisaidia haja kubwa
 
Naombeni msaada wa hospitali nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe huko njia ya haja kubwa. Sipati maumivu yoyote nimeamua tu kukitoa hicho kinyama sikitaki.

Naombeni msaada wa hospitali na gharama zake
Mkuu ,,ulionywa kuhusu mke wa mtu hukusikia,,,

Pole sana...

Wahuni watu wabaya sana..
 
HOSPITALI YEYOTE YA RUFAA INAWEZAKUKUTIBU MAANA SIO TATIZO KUBWA SANA UKIWA UMELIWAHI, KUTIBU CHANZO NI JAMBO LA BUSARA ZAIDI
 
Back
Top Bottom