Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

KUHUSU HOPITALI SIJUU KAMA WANATIBU HII ZAIDI OPERATION ITAKUHUSU. Kama ishu ni tiba basi itaanzia juu ya ulaji wako na dawa nicheki hata kwa ushauri tu 0687439333
 
Nipo Dar.. Hii hari imenianza Juzi baada ya kujisaidia kinyama kimetoka nje hakirudi ndani..... kuna mtu alinambia nipake Aloe vera, nimefanya ivo jana na leo. Lakini baada ya kupitia hapa na mimi kesho naenda dukani kutafuta hayo mafuta, wasiwasi wangu ni wenda nikayakosa....

Jamii forum ni sehemu muhimu sana kwa ustawi wa jamii. Thanks mleta uzi na wachangiaji. Pia sisi tutakaofuata ushauri huu ni vema tulete mrejesho baada ya kutumia ili kusaidia wengine watakaokuja kuperuzi umu mbeleni.
Mrejesho kaka
 
Naombeni msaada wa hospitali nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe huko njia ya haja kubwa. Sipati maumivu yoyote nimeamua tu kukitoa hicho kinyama sikitaki.

Naombeni msaada wa hospitali na gharama zake
Mkuu naomba mrejesho umepona ? Mim inanisumbua bawasili
 
Mkuu naomba mrejesho umepona ? Mim inanisumbua bawasili
Hope atakuwa poa but kama unahiyo changamoto tunaweza saidzana but issiwe tu imefikia stage za juu. Yan isiwe vile vinyama vmekuwa vikubwa.
Ila hiyo nyonyo nayo inamatokeo mazuri kulingana na maneno ya watu wengi

UKafanikiwe
 
Tatizo limekua kubwa sana siku hizi... ni vyakula
Maji mengi Na matunda hasa mapapai yanasaidia sana
 
Maduka mengi tuu hasa ya vipodozi huwezi kukosa..sh..2000 hadi 3000 tuu kwa kachupa kadogo...lakini huwezi kukamaliza hako kachupa..utatumia chini ya asilimia 5.
Mkuu niko mkoani nahitaji hayo mafuta, msaada tafadhari.
 
Nipo Dar.. Hii hari imenianza Juzi baada ya kujisaidia kinyama kimetoka nje hakirudi ndani..... kuna mtu alinambia nipake Aloe vera, nimefanya ivo jana na leo. Lakini baada ya kupitia hapa na mimi kesho naenda dukani kutafuta hayo mafuta, wasiwasi wangu ni wenda nikayakosa....

Jamii forum ni sehemu muhimu sana kwa ustawi wa jamii. Thanks mleta uzi na wachangiaji. Pia sisi tutakaofuata ushauri huu ni vema tulete mrejesho baada ya kutumia ili kusaidia wengine watakaokuja kuperuzi umu mbeleni.
Vp mkuu ulifanikiwa kupona
 
mkuu pole sana kwa tatizo lako,
ka hujapata ufumbuzi wa tatizo hilo tuwasiliane nikupatie dawa ambayo utapaka na tatizo litaondoka kabisa na hutohitaji kufanya upasuaji kabisa, pia dawa hiyo inasaidia kuondoa NYAMA ZA PUA.
karibu
Bei ya dawa
 
Back
Top Bottom