NHIFTZBaada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima
Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa Bima, Je, Mimi mwanachama kuna Mfumo wowote unaonisaidia kuthibitisha kile ninachoambiwa au ndio inabidi tu nikubali nikaisake shilingi ninunue hiyo Dawa?
Mkuu nisaidie Package ya Kitita cha Referral na Zonal/National Hospital...Hospitali Binafsi Nyingi ziko Level C na D ambayo ni sawa na District Hospital So Angalia hapa Dawa zilizopo kwenye Level C..
Japo Kairuki na Hospitali Kubwa kama Regency Na zingine ziko Level ya D na S ambayo Ni sawa na Regional refferal au Zonal..
Kwa dalili nilizonazo naweza kuthibitisha kabisa.Kwani Doctor akikwambia wewe unaumwa Malaria wewe kama binafsi unathitishaje kama ni kweli?
Tuone Fikra za Kipumbavu zilivyo:Mtoa huduma akikupa dawa analipwa sasa akunyime ili iweje! Fikra nyingine ni za kipumbavu.
Mgonjwa hana access na Service portal, nani atamruhusu kuaccess ili aone yaliyomo?Pia Kuna Njia nyingine ya Kuangalia Kwenyr Mifumo ya NHIF
Ok SawaMkuu nisaidie Package ya Kitita cha Referral na Zonal/National Hospital...
Huyo kaamua kufikiria kama kuku.Tuone Fikra za Kipumbavu zilivyo:
Mtoa huduma unanunua dawa kwa 500/=
Hiyo Dawa ukimhudumia mgonjwa then Bima wanakulipa 400/=.
Ni kweli mtoa huduma hatakunyima hii Dawa..
Kama hilo lingekuwepo kweli isingekuwa kwa dawa moja au mbili tu naamini ingekuwa ni kwa dawa na huduma nyingine zote na kama ni hivyo ni dhahiri watoa huduma pamoja na nia yao njema ya kusaidia wananchi lakini wangeshindwa kumudu gharama za uendeshaji hivyo wangeacha kabisa kutoa huduma kwa walengwa, tuache kutungatunga mambo ili kulazimisha fikra za ovyo.Tuone Fikra za Kipumbavu zilivyo:
Mtoa huduma unanunua dawa kwa 500/=
Hiyo Dawa ukimhudumia mgonjwa then Bima wanakulipa 400/=.
Ni kweli mtoa huduma hatakunyima hii Dawa..
Ili waendelee kutoa huduma lazima wafanye udanganyifu kama huu tunaouona.Kama hilo lingekuwepo kweli isingekuwa kwa dawa moja au mbili tu naamini ingekuwa ni kwa dawa na huduma nyingine zote na kama ni hivyo ni dhahiri watoa huduma pamoja na nia yao njema ya kusaidia wananchi lakini wangeshindwa kumudu gharama za uendeshaji hivyo wangeacha kabisa kutoa huduma kwa walengwa, tuache kutungatunga mambo ili kulazimisha fikra za ovyo.
Ushatumiwa nyaraka huko nyuma kasome kama utaambulia chochote. Mambo mengine huwa mnahoji shudu..Mbona Daktari akikwambia una malaria huulizi utajuaje kama ni Malaria kweli?Kuna namna haoa ww ndio naona kama umekaza fuvu
Kwa uelewa wangu, mtoa mada alitaka msaada wa ufafanuzi kuhusu swala lake, kwa maana nyingine anataka kujua coz hajui ni kwanini.We nae acha kukaza fuvu,hizo dawa ambazo hupewi kwa bima ujue ndio za gharama kubwa,manake kama zingekuwa zinaruhusiwa mahospitali yangepata pesa nyingi sana. Hakuna mtoa huduma ambaye atakunyima dawa ya gharama kwa makusudi,pia Catalogue ipo inayoonesha dawa zinazoruhusiwa na bei zake na dawa zisizoruhusiwa. Ni kitabu kabisa kina kurasa zaidi ya mia.
Anzisha Uzi wa Kero umuanike huyo Mkandarasi.Hii nchi hata njia inazotumia kutatua kero nazo ni kero tu kwa wananchi mfano mkandarasi wa mchongo aliepewa zabuni ya kujenga mabanda toka mwaka jana hajamaliza hii inaashiria hakuwa na uwezo wafanyabiashara wanazidi kuteseka na Hali ya mvua zinazoendelea
Kama haujui kusoma si unamuomba hata jirani yako akusomee ili ujue hiyo dawa ipo au haipo. Muhimu hiyo orodha iwepo kwenye mahospitali notes board mgonjwa ataona mwenyewe.Hii sio approach sahihi.
Sio kila mtu ana knowledge ya haya mambo, so tuwe tuna compare mwandiko wa dokta na catalogue ya NHIF kwel mkuu??
NHIFTZ wake na utaratibu rahis wa kutuwezesha sis kuthibitisha haya