Kwa uelewa wangu, mtoa mada alitaka msaada wa ufafanuzi kuhusu swala lake, kwa maana nyingine anataka kujua coz hajui ni kwanini.
Tujaribu kuwa wastaarabu kdg tunapotoa majibu maana ninachokielewa mimi, yawezekana wewe hukielewi. Anyway, vipi kuhusu vipimo navyo, mtu anaenda hospitali anaambiwa vipimo anavyotakiwa kufanyiwa haviko kwenye bima, akishafanyiwa kwa cash gharama za matibabu inaweza kuwa ni hundreds if not thousands of dollars wakati vipimo vili cost labda elf30 tu. Swala la gharama linakaaje apa embu tusaidie
clinician