DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori.

Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa hivyo mtoto wa miaka 3, wakampa madawa mengi aina km 5 afu zote za kumeza siky 14 hadi 30.

Shem wangu naye ambaye hatuishi nyumba 1 na yeye aliambiwa na H. Pylori, rafiki yangu hivyo hivyo.

Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.

Je, nyie hospitali ya Kairuki mmeamua kufanya biashara na miili yetu au?? Je, pesa ya bima ndiyo chanzo chenu cha mapato.

Serikali fatilieni hili swala. Wagonjwa wa bima kupewa madawa mengi na kuambiwa wanaumwa magonjwa mengi ili hospital wauuze dawa siyo fair.
Siyo kila mwenye hpylori ana-experience changamoto zao- vitu vingine kama hujui waachie tu wataalamu
 
Acha mbwembwe we daktari wa kairuki
Una utimamu wa akili mkuu? Habari ya kuwa mfanyakazi wa kairuki imeingiaje? Au kwa sababu unaleta mawazo yako yasiyo na mbele wala nyuma basi na kila mtu ayapokee unavyotaka? Ni mjinga pekee anayeweza fanya hivyo
 
Hili ni jambo linalonifanya hata nikiumwa nisiende hospital, Ukienda hospital hata na mafua, Utarudi na Lundo la dawa. Madoctor wamekuwa wanafanya biashara si kuhudumia wagonjwa.
 
Sorry nilikosea kuku overate daktari hawezi kuripuka na mitusi kwa innocent commentator .now I know who you probably are .
 
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori.

Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa hivyo mtoto wa miaka 3, wakampa madawa mengi aina km 5 afu zote za kumeza siky 14 hadi 30.

Shem wangu naye ambaye hatuishi nyumba 1 na yeye aliambiwa na H. Pylori, rafiki yangu hivyo hivyo.

Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.

Je, nyie hospitali ya Kairuki mmeamua kufanya biashara na miili yetu au?? Je, pesa ya bima ndiyo chanzo chenu cha mapato.

Serikali fatilieni hili swala. Wagonjwa wa bima kupewa madawa mengi na kuambiwa wanaumwa magonjwa mengi ili hospital wauuze dawa siyo fair.
Mkome
 
Kumbe ni mchezo, nilienda Decca pollyclinic Dodoma hivyo kwa kutumia bima nilikuwa na ugonjwa wa ngozi, nikafanya vipimo hakukuwa na ugonjwa wowote baada ya kurudi kwa daktari (Mathew) akaniambia nikapamie choo majibu yalivyotoka akaniambia nina mdudu anaitwa H. Pylory ambayo ni aina ya minyoo, ndio inanisabishia hiyo hali ya kuwashwa nikapewa box la dawa kumeza siku 60, nikamuuliiza daktari kama unaruhusiwa kutumia pombe wakati wa dozi akaniambia hapana, nikamuuliza kama kuna sindano akasema tiba yake ni hii dawa niliyoandikiwa, ikanibidi niondoke nikameza siku moja hadi tatu uzalendo ukanishinda nikaendea Kumwagilia moyo ingawa nikaenda tena Rabininsia hospital Tegeta Dar es salaam kumuona daktari wa ngozi katika kumuelezea na matibabu niliyopatiwA huko nyuma akanimbia hiyo si H. PYLORY kama ulivyoambiwa achana na dozi hiyo hii ulinayo ni Pumu ya ngozi, na katika historia yangu kweli nilishwahi kuugua pumu huko utotoni nikapewa dawa ya kupaka kutuliza hali maisha yanaendelea na moyo namwagilia kama kaiwaida.
 
Duh hatari sana

Sasa sipati picha Ile sheria waliyokua wameweka mwanzo, ikasitishwa.
Ya kwamba unatakiwa kwenda kwenye hospital moja tu ukitaka kubadili mpaka wakupe referral.
 
DECCA DODOMA( kila mgonjwa anaumwa H.pyroli,)NTYUKA DODOMA( kila mgonjwa mgonjwa hata yule wa kuwekwa mapumziko tu,lazma alazwe siku tatu,yaan siku ya pili hupita kimawenge bila huduma ya maana zaid ya drip ya maji tu ili mradi atimize siku tatu) WATU WA NHIF fuatilieni hili

Kwa wa mama kila mtu anaambiwa anamkojo mchafu.
 
Kama viongozi wenyewe ni wezi tena wanajigamba hadharani kuwa wale kutokana na urefu wa kamba unategemea nini kwa mimi raia wa kawaida???
 
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori.

Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa hivyo mtoto wa miaka 3, wakampa madawa mengi aina km 5 afu zote za kumeza siky 14 hadi 30.

Shem wangu naye ambaye hatuishi nyumba 1 na yeye aliambiwa na H. Pylori, rafiki yangu hivyo hivyo.

Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.

Je, nyie hospitali ya Kairuki mmeamua kufanya biashara na miili yetu au?? Je, pesa ya bima ndiyo chanzo chenu cha mapato.

Serikali fatilieni hili swala. Wagonjwa wa bima kupewa madawa mengi na kuambiwa wanaumwa magonjwa mengi ili hospital wauuze dawa siyo fair.
Hii hospital ilikuwaga na sifa nzuri tu, kumbe siku hizi wamekuwa wachumia tumbo!
 
Duh hatari sana

Sasa sipati picha Ile sheria waliyokua wameweka mwanzo, ikasitishwa.
Ya kwamba unatakiwa kwenda kwenye hospital moja tu ukitaka kubadili mpaka wakupe referral.
hiyo sheria ipo... hospital zingine nilienda bila Bima
 
Halafu unamsikia mkuu wa nchi anapigia promo private sector .huu ni urefu wa kamba ndio maana Rais akiwa na uzarendo wa kupitiliza ma private sector yabaki kupiga miayo. Sijikatai ila Africans tuna matatizo makubwa hasa tunapopata upenyo wa ku corrupt mahala.
Tusilaumu private sector, kma huduma mbovu hospitai za serikali mpka uhonge unategemea nini? Tusipende kulaumu wakati ni uzembe wa serikali ndio Unaleta huu mwanya.
 
Kumbe ni mchezo, nilienda Decca pollyclinic Dodoma hivyo kwa kutumia bima nilikuwa na ugonjwa wa ngozi, nikafanya vipimo hakukuwa na ugonjwa wowote baada ya kurudi kwa daktari (Mathew) akaniambia nikapamie choo majibu yalivyotoka akaniambia nina mdudu anaitwa H. Pylory ambayo ni aina ya minyoo, ndio inanisabishia hiyo hali ya kuwashwa nikapewa box la dawa kumeza siku 60, nikamuuliiza daktari kama unaruhusiwa kutumia pombe wakati wa dozi akaniambia hapana, nikamuuliza kama kuna sindano akasema tiba yake ni hii dawa niliyoandikiwa, ikanibidi niondoke nikameza siku moja hadi tatu uzalendo ukanishinda nikaendea Kumwagilia moyo ingawa nikaenda tena Rabininsia hospital Tegeta Dar es salaam kumuona daktari wa ngozi katika kumuelezea na matibabu niliyopatiwA huko nyuma akanimbia hiyo si H. PYLORY kama ulivyoambiwa achana na dozi hiyo hii ulinayo ni Pumu ya ngozi, na katika historia yangu kweli nilishwahi kuugua pumu huko utotoni nikapewa dawa ya kupaka kutuliza hali maisha yanaendelea na moyo namwagilia kama kaiwaida.
Aisee. Hii ni hatari!
 
Hili ni jambo linalonifanya hata nikiumwa nisiende hospital, Ukienda hospital hata na mafua, Utarudi na Lundo la dawa. Madoctor wamekuwa wanafanya biashara si kuhudumia wagonjwa.

Hahahaha umenikumbusha juzi,wife alikua anaumwa nikampeleka hospital Moja ya private,wife kajieleza ana mafua,homa na kifua wakamdirect kwa docta wa alege!!!mara eti damu sijui imaefanyaje madawa karibu 200k..nkakwambia kachukue kipimo cha mimba usinywe madawa,kupima kumbe mja mzito...hizi hispitali za private zitatuua
 
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori.

Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa hivyo mtoto wa miaka 3, wakampa madawa mengi aina km 5 afu zote za kumeza siky 14 hadi 30.

Shem wangu naye ambaye hatuishi nyumba 1 na yeye aliambiwa na H. Pylori, rafiki yangu hivyo hivyo.

Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Nikamchukua mtoto na mimi tukaenda kupima bochi na Kairuki kote tulikutwa hatuna hiyo H. pylori mtoto wangu amekutwa na matosi yanayompa homa basi.

Je, nyie hospitali ya Kairuki mmeamua kufanya biashara na miili yetu au?? Je, pesa ya bima ndiyo chanzo chenu cha mapato.

Serikali fatilieni hili swala. Wagonjwa wa bima kupewa madawa mengi na kuambiwa wanaumwa magonjwa mengi ili hospital wauuze dawa siyo fair.
Imebidi nitafute mahali nisome ili nije kujibu...👇👇

How do you get infected by Helicobacter pylori?
You can get H. pylori from food, water, or utensils. It's more common in countries or communities that lack clean water or good sewage systems. You can also pick up the bacteria through contact with the saliva or other body fluids of infected people.7 Dec 2020

1661248963747.png

WebMD - Better information. Better health. › h-pylori...

H. pylori Bacteria Infection: Symptoms, Diagnosis, Treatment, Prevention

Helicobacter pylori (see the image below) is a ubiquitous organism that is present in about 50% of the global population. Chronic infection with H pylori causes atrophic and even metaplastic changes in the stomach, and it has a known association with peptic ulcer disease. [1] The most common route of H pylori infection is either oral-to-oral or fecal-to-oral contact. [2]

Ukiwa Dar hao H. pylori bacteria ni rahisi kuwa nao tumboni kutokana na mazingira na mifumo ya maisha yetu (soma sources hapo juu)! Si lazima uugue ndo uwe nao.
Hivyo ukienda kutibiwa nenda ukijua hilo tatizo lipo na linaambukizwa!

Changamoto genuine ambayo umeleta hapa mezani ni utekelezaji wa NHIF.
Ni mfuko unapigwa sana na wajanja.
 
Mimi mwenyewe jana nilipima nilikuwa siumwi chochote nikasema ngoja niwapime wakasema nina H. pylori.

Ugonjwa huu watu wengi hawajiu kama wanao, huu ambukizwa kwa kugusana, kuchangia chombo cha kutawaza, kupitia chakula n.k

Helicobacter pylori (H. pylori) infection occurs when H. pylori bacteria infect your stomach. This usually happens during childhood. A common cause of stomach ulcers (peptic ulcers), H. pylori infection may be present in more than half the people in the world

READ More: Helicobacter pylori (H. pylori) infection - Symptoms and causes
 
Back
Top Bottom